..Samia alianza vizuri, hakuna anayebisha.
..alitoa kauli za matumaini, na ndio maana Chadema walimpa hiyo tuzo.
..lakini mpaka sasa hajaleta Tume Huru, Tume ya Ukweli, Haki, na Maridhiano, pamoja na Katiba Mpya.
..kwa hiyo wanaomlaumu wana hoja za msingi.