Pre GE2025 Mbowe aendesha uchaguzi wa Mwenyekiti Pangani bila kufuata taratibu za CHADEMA

Pre GE2025 Mbowe aendesha uchaguzi wa Mwenyekiti Pangani bila kufuata taratibu za CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
So, umekimbilia kuanzisha uzi bila hata kujua katiba ya Chadema inasemaje?!

Umefanikiwa kuwakamata akili viazi wenzio, nao wamejiunga nyuma yako kukupongeza kwa pumba ulizowalisha hapa.

Leta video nzima ya hilo tukio tujue nini kilisababisha Mbowe akafanya hivyo, sio kuimba tu kama chiriku Mbowe anamiliki Chadema, na vilaza wenzio wanakupigia makofi!.
Chadema ina utaratibu wa kufanya uchaguzi mbowe ametumia umangi sina kuendehsa uchaguzi
 
Mikutano wanayoifanya kina Mbowe, Lissu, na Lema kule field mmeona muitikio wake kwa wananchi? au unaimba tu hapa kama katoto..

Chadema imepoteza mvuto huku bado CCM wanashangilia kumpata Msigwa?!

Mnaandika tu ilimradi mihemko yenu imehamia kumponda Mbowe, there is no logic whatsoever.
Ndugu yangu ukishakua mzalendo wa chama, hauwezi kuona kasoro hata moja wazalendo wote wapo hivi.

Kuna mahali flani wapo watumishi wazalendo wa chama tawala, mmoja wao alikua anadai hajapanda daraja ndo anaulizia, mzalendo mmoja akamwambia "wazalendo hatulalamiki" nilicheka.....kumbe ukiwa mzelendo hata haki yako si vema kuiulizia.

Hivo wazalendo wa chadema, wazalendo wa ccm binafsi nawaelewa. Nkutakie siku njema braza
 
Ndugu yanguukishakua mzalendo wa chama, hauwezi kuona kasoro hata moja wazalendo wote wapo hivi.

Kuna mahali flani wapo watumishi wazalendo wa chama tawala, mmoja wao alikua anadai hajapanda daraja ndo anaulizia, mzalendo mmoja akamwambia "wazalendo hatulalamiki" nilicheka.....kumbe ukiwa mzelendo hata haki yako si vema kuiulizia.

Hivo wazalendo wa chadema, wazalendo wa ccm binafsi nawaelewa. Nkutakie siku njema braza
Kama ungejibu maswali niliyokuuliza hapo juu badala ya kuleta ngonjera zako za uzalendo, ningejua kichwani uko vizuri.

Kwa hili jibu lako ndio nimepigia mstari kilichomo kwenye kichwa chako. Mnajua kuimbishwa mapambio no critical thinking whatsoever.
 
Ukitazama hii video utamuona Mbowe mmiliki wa CHADEMA akiendesha uchaguzi kwa style ambayo haijawai kutokea tangu uchaguzi wa kumpitisha Lowassa kuwa mgombea urais CHADEMA mwaka 2015.

Huu ni muendelezo wa namna Mbowe anavyoendesha chama chake. Tukio ili limeshangaza maelfu ya watu walioona video hii duniani kote.

Hiki chama kimeishiwa maarifa ya uongozi. Wakati wa Dkt. Slaa huwezi ona haya mazingaombwe.
Nguruwe wa CCM mnateseka sana na Mbowe
 
Nguruwe wa CCM mnateseka sana na Mbowe
20240701_192614.jpg
 
Kama ungejibu maswali niliyokuuliza hapo juu badala ya kuleta ngonjera zako za uzalendo, ningejua kichwani uko vizuri.

Kwa hili jibu lako ndio nimepigia mstari kilichomo kwenye kichwa chako. Mnajua kuimbishwa mapambio no critical thinking whatsoever.
Ahsante ni kweli sina kitu mkuu 😁
 
Una uhakika wote ni lumumba
Fuatilia michango wengi wetu utaelewa

Tupo humu kitambo sana
Tuliitetea sana hiyo mnaita chadema but hatuoni matokeo chanya kila mwaka ni hasi.
So usikebehi comments za watu.
Sikebehi ila,most of you ni keyboard warriors.Vyama vipo vingi why mko so interested na hicho ambacho hakitoi matokeo chanya!?.
 
Mmepokea pesa ya mkulu si ndio haya tunasema kila siku hakuna upinzani ni biashara
Kumuona mtu wa act kwenye swala la mgonjwa wengi wetu tulijua kwisha habari..,
Upinzani bongo ni hadithi hatupo serious
Mmepokea pesa za wates na kupiga maphotoooo
Safari bado ni ndefu sana
 
Ukitazama hii video utamuona Mbowe mmiliki wa CHADEMA akiendesha uchaguzi kwa style ambayo haijawai kutokea tangu uchaguzi wa kumpitisha Lowassa kuwa mgombea urais CHADEMA mwaka 2015.

Huu ni muendelezo wa namna Mbowe anavyoendesha chama chake. Tukio ili limeshangaza maelfu ya watu walioona video hii duniani kote.

Hiki chama kimeishiwa maarifa ya uongozi. Wakati wa Dkt. Slaa huwezi ona haya mazingaombwe.
Ayatollah mbowe freeman
 
Back
Top Bottom