Pre GE2025 Mbowe aendesha uchaguzi wa Mwenyekiti Pangani bila kufuata taratibu za CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Chadema ina utaratibu wa kufanya uchaguzi mbowe ametumia umangi sina kuendehsa uchaguzi
 
Chadema ina utaratibu wa kufanya uchaguzi mbowe ametumia umangi sina kuendehsa uchaguzi
Nimekwambia weka hapa video yote ya tukio tuione, haya majibu unayonipa unaogopa kuumbuka.
 
Ndugu yangu ukishakua mzalendo wa chama, hauwezi kuona kasoro hata moja wazalendo wote wapo hivi.

Kuna mahali flani wapo watumishi wazalendo wa chama tawala, mmoja wao alikua anadai hajapanda daraja ndo anaulizia, mzalendo mmoja akamwambia "wazalendo hatulalamiki" nilicheka.....kumbe ukiwa mzelendo hata haki yako si vema kuiulizia.

Hivo wazalendo wa chadema, wazalendo wa ccm binafsi nawaelewa. Nkutakie siku njema braza
 
Kama ungejibu maswali niliyokuuliza hapo juu badala ya kuleta ngonjera zako za uzalendo, ningejua kichwani uko vizuri.

Kwa hili jibu lako ndio nimepigia mstari kilichomo kwenye kichwa chako. Mnajua kuimbishwa mapambio no critical thinking whatsoever.
 
Nguruwe wa CCM mnateseka sana na Mbowe
 
Ahsante ni kweli sina kitu mkuu 😁
 
Una uhakika wote ni lumumba
Fuatilia michango wengi wetu utaelewa

Tupo humu kitambo sana
Tuliitetea sana hiyo mnaita chadema but hatuoni matokeo chanya kila mwaka ni hasi.
So usikebehi comments za watu.
Sikebehi ila,most of you ni keyboard warriors.Vyama vipo vingi why mko so interested na hicho ambacho hakitoi matokeo chanya!?.
 
Mmepokea pesa ya mkulu si ndio haya tunasema kila siku hakuna upinzani ni biashara
Kumuona mtu wa act kwenye swala la mgonjwa wengi wetu tulijua kwisha habari..,
Upinzani bongo ni hadithi hatupo serious
Mmepokea pesa za wates na kupiga maphotoooo
Safari bado ni ndefu sana
 
Ayatollah mbowe freeman
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…