Mbowe aendesha zoezi la kupiga kura ya wazi juu ya hoja ya Bandari akiwa Nyehunge Geita

Rabbon

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2022
Posts
21,625
Reaction score
33,688
Baada ya zoezi Hilo la kupiga kura ya WAZI,

Matokeo ni kuwa,

Wananchi wote wameazimia Kwa pamoja kuwa Bandari zetu haziuzwi, hazikodishwi Wala kugawiwa Bure.

Pia wananchi wameweka mikono kichwani na kupiga ukunga/nduru na kulia uwi!

Hii ni Ishara kuwa, wananchi wanachukizwa na jaribio lenye Nia Ovu kuuza bandari zetu.

Ikiwa zoezi hili la upigaji wa kura za WAZI litaendelea Nchi nzima, ni dhahiri tutakuwa tumepata mbadala wa kura za Siri ambazo zimekuwa zikichakachuliwa.

Ushauri; 2024/2025 wananchi tupige kura ya WAZI mabarabarani na Viwanjani Ili kuhakikisha Nchi yetu inarudi mikononi mwetu Kutoka kundi dogo lenye Nia Ovu!!!

Mungu ibariki TANZANIA.

Amen
 
Tume iliyosimamia huo uchaguzi ni hii hiinya Dr Mahera?
 
Baada ya zoezi Hilo la kupiga kura ya WAZI,

Matokeo ni kuwa,

Wananchi wote wameazimia Kwa pamoja kuwa Bandari zetu haziuzwi, hazikodishwi Wala kugawiwa Bure.

Pia wananchi wameweka mikono kichwani na kupiga ukunga/nduru na kulia uwiiiiiiiiiiiii!!!!!

Hii ni Ishara kuwa, wananchi wanachukizwa na jaribio lenye Nia Ovu kuuza bandari zetu.

Ikiwa zoezi hili la upigaji wa kura za WAZI litaendelea Nchi nzima, ni dhahiri tutakuwa tumepata mbadala wa kura za Siri ambazo zimekuwa zikichakachuliwa.

Ushauri; 2024/2025 wananchi tupige kura ya WAZI mabarabarani na Viwanjani Ili kuhakikisha Nchi yetu inarudi mikononi mwetu Kutoka kundi dogo lenye Nia Ovu!!!

Mungu ibariki TANZANIA.

Amen
Video ya tukio kusindikiza Uzi please
 
Back
Top Bottom