Alimchukua mwizi mwenzake(liliani) ambaye hata kutia curl nywele anashindwa kwa kutafuta.Ulitaka awachukue mabosi wako Rostam Azizi na Manji?
basi punguza kidogo ! NAKUOMBA !
watu wana hasira na wanazipeleka kwa RA na CCM ! watapasuka karne hii !
Alimchukua mwizi mwenzake(liliani) ambaye hata kutia curl nywele anashindwa kwa kutafuta.
maana hata mama Mkapa alikuwa hana muda wa kusuka wala kutia wanja. muda wote macho mekundu kwa kutafuta. kweli Liliani akiwa fisrt lady itabidi tuhame nchi.kwani hujui mwanaume nani na mwanamke nani.
Kada,
atakayepasuka hapa ni mwizi na mkoloni (ambaye sasa hivi hata uraia na elimu yake vimekuwa questionable) Rostam Azizi. Ile story ya magazetini aliulizwa kuhusu uraia wake na alikosomea akaombwa kuachwa alone maana hana la kujibu...
Hakujua alichokuwa anaanzisha katika hili yeye na mpambee wake balile. Mahakama soon itaamua kesi ya Mbowe na Mbowe atalipa deni lake, je Rostam atarudisha vipi mabilioni ya pesa aliyoiba na maelfu ya watoto wa kitanzania aliouwa?!
Hapa anayeongelewa ni MBOWE na sio BLOW JOBS bana, kaeni kwenye topiki ! na sio kingine, kama mtu umeshindwa TOKA na uache CHINGA amwage facts !
MBOWE kawa nani watu wasimuongelee, jamani mmeolewa na MBOWE ?? maana kila anapoongelewa MBOWE basi mnatia maguu yenu kutetea hata pale alipokosea, wakati huo huo mkiwasema CCM hamna mtu anayewafuata, sasa please Mwafrika wa Kike na wenzako JUST SET THE RECORD STRAIGHT kama hamtaki MBOWE aongelewe humu !!TUJUE MOJA !
Lakini sio kukaa na kuchukua watu wanapomjadili MBOWE, huo ni UJINGA ! JUST SET THE RECORD STRAIGHT !
Binafsi sina chama, lakini wengi wapo upande mmoja (kujadili ishuz za upande mmoja) na baadhi (wachache sana) tunajadili upande mwingine SASA HAPO TATIZO NINI ?? au mnadhani mnaweza kujadili pande zote peke yenu ?? screwed up !
yupo wapi ?
Mtanzania.
Utasema hadi utachoka, hujui kuwa MBOWE ni mbumbu? unapo kopa unauliza jee kuna SIMPLE INTEREST?
sasa kama aliingia mkataba wa kumsomesha Balile-Hull lakini BALILE akamkimbia, hilo linathibisha kuwa jamaa ni MBUMBU, mie siwezi kumsomesha mtu halafu akirudi akimbilie kwingine.HATUNA LAWYER WA CONTRACT LAW AU BUSINESS LAW awatibu maradhi yao kina Mbowe,Kitila,na Mwanakijiji.
MBOWE NI MAJNUNI.
Naona kuna tafsiri nyingi sana za maneno facts na BJ
Kada,
quote post yangu yoyote niliyosema kuwa Mbowe asijadiliwe na nitasign off right now.
Kada naona umesahau kuwa kati ya watu wenye posts nyingi hapa JF ni wewe na FMES ambao wote mko upande wa CCM, hayo ya kusema kuwa watu wanajadili peke yao ni insult kwa wana ccm hapa kina Masatu, FD, Kasheshe, Mtu wa pwani, na wengineo ambao wana posts kibao na za kutosha!
kada tuliokuwa tunafuatilia tunaelekea kukupa kadi nyekundu please endelea na mada
acha ujinga na utoto, BJ ulikuwa unarefer kwa maana Blow Job usidhani unaweza kuchezea akili zetu kiasi hicho, kuwa upande wa ccm na kuwa na posts nyingi DOES NOT JUSTIFY kwamba uwakande watu wanaomuhoji Mbowe ! Na sidhani kama kuna wanaCCM humu bali ni watanzania ambao mchango wao wa kimawazo umeelemea CCM na hiyo haimaniishi ni officially CCM, tusiende huko !
Lakini nitakachokwambia ni kwamba sihitaji nguvu za jani kuelewa BJ ni blow job !
Nilichosema ni kuhusu wewe na sio wengine hao uliowataja, lets not use other members kujustify unachosema, let that burden be on you !
sasa you have a choice to make, either kuwa respectable member kwa kuongea unachoamini bila kuvuruga hoja za watu au kuwa MJINGA na kutibua hoja za watu wanaojadili pande zote za shilingi ccm, cuf, nccr-mageuzi, chadema, ndp and the like !
Sidhani kama kila mtu humu ni mtoto kama unavyochukulia, lakini sidhani at any time mtu akitaka kuonyesha makucha yao watashindwa !
Na angalia unavyoandika inaonyesha wewe ni Mwanakijiji ! angalia uliposema nikuquote then utasign off right now, soma tena na utajua ninachomaanisha !
Usijali Kada.... baada ya kusikia hiyo ya hapo kuwa Mbowe ni mkikuyu imenipa sababu ya kupunguza mawe maana naona kuna mtu atapasuka kwa kukosa la kusema hapa...
Mbowe ni mkikuyu? mhhh kuna mengi yanakuja hapa JF.. kama kawaida ninakamata pop corn kuendelea na movie nakushuhudia explosion za wanaccm?
usijali mzee niliona kama unaishiwa nguvu mkuu endelea kukata nyanga naona chinga ameishia mitini
usijali mzee niliona kama unaishiwa nguvu mkuu endelea kukata nyanga naona chinga ameishia mitini
Unajua Mwanakijiji wewe umeingia Chadema ukiwa Marekani,Kaburu aliporudi alijua anakwenda UMD ya Fundikira baada ya kukutana na Fundikira marekani akiwa na Marehemu Kambona, lakini aliyoyakuta akaomba kwenda CCM ili awe mbunge wa Kigoma mjini, pale akaja jamaa anaitwa Azim Premji akampiga bao Kaburu.
baada ya kuona kaburu hana kitu Ccm ndio akaingia Chadema.
story hii nalazimika kukupa wewe uliyeingia chama kupitia internet na JF, ni sawa na wewe kutafuta mchumba kupitia internet kwani mtu humjui atakudanganya kwa kila zuri.
kifupi mke hatafutwi kwenye computer kuna taratibu zetu wazee wametuwekea.
au ulivyokuwa hujafika Marekani ukitiza picha zao unaona kila kitu kizuri kama hujafika kwao huwezi kuujua udhaifu wake.
hivyo hivyo huijui CHADEMA wala MBOWE, umeisikia ukiwa Marekani.naomba niambie mkutano wa kwanza wa Chadema ulikuwa wapi 1992? alisema nini Senior Makengeza(Mtei)?
wadhamini wa Chama wa kwanza kuna kabila lingine zaidi ya wachagga? unawajua?
Chama huingii kupitia JF lazima uone matawi yao n.k ndio maana mwalimu aliweka utaratibu wa mafunzo ya Chama kuhofia malaya wa kisiasa kama kina Mkumbo ambao kila kukicha wanahama vyama utafikiri wanabadili nguo ndogo zao.
Kuna mtu kama Es ni mtoto wa mjini na anamjua vizuri Mbowe na Bilicanas. unajua kama Mbowe ni misheni Town na alikuwa akifanya deal za cheque fake pale kwenye duka lake la fedha?
pole sana una maradhi na huko marekani utapatiwa dawa yako.