Na kwa maneno haya asikimbie mtu hapa JF ! Njoeni sasa mseme au mkanushe !
Sakata la Mbowe na NSSF hiyo ilikuwa wana beep tu!Ni kafisadi kadogo tu!Subrini kuna mabom ya Mbowe yanakuja fom NHC na Bank Kuu!sio muda mrefu!wafuasi wake humuwatabadili majina humu ndani!
Watu wapo Marekani wanajifanya wanaijua kila kitu cha Tanzania!!Waacheni wabweke tu!
iSSUE YA BENKI KUU NIUJUA HADI KUICHOMA MOTO. watalia.Mbowe alikuwa karani benki-kuu.
na ndio maana naona wamenyuti suala la BOT kuhusu mambo fulani, kumbe kimya chao kina maana, anha, sasa subiri !
chinga soma message niliyokutumia na uifute chap chap !
Mwanakijiji halijui hili. kwa vile haijui siasa wala nchi haijui.Chadema inatumuika kama NGO nyingine kuchukua pesa ulaya kwa ajili ya maslahi binafsi.
kuna watu wamefungua NGO za kusaidia yatima, wajane au wagonjwa wa ukimwi in Theory,lakini practically hawafanyi chochote.
vilipoanza vyama vingi mzee Mtei alikuwa hana kazi analima shamba lake kule Arusha.
akaamua kuanzisha Chama ili aishi kwa ruzuku. Wachagga wengi walishtukia deal hii ya vyama vya siasa. wengi wao walikuwa na nia ya kujikombia kimaisha. Wachagga wafutao walianzisha vyama.
1-James Mbatia baada ya kufukuzwa chuo kikuu akaenda NCCR kama ajira yake huyu ni mchagga.
2-ULOTU huyu ni mchagga alianzisha chama cha NRA kama mradi wake.
3-MZEE MTEI na Mkwe wake Freeman Mbowe na mtoto wa mtei Liliani Mtei ambaye ni mke wa Mbowe walianzisha chama cha Chadema baada ya Mbowe kuwa jobless na mzee Mtei kuwa mkulima arusha.
4-Professor Shayo huyu nae mchagga alianzisha chama kama mradi wake binafsi.
5-Anna senkoro(mchagga) nae alianzisha chama kama mradi wa kumfanya aishi.
6-Mrema na Ngawaiya nao wakaingia TLP kama mradi wao wa maisha ni wachagga.
kulikuwa na Mvungi nae anatoka kilimanjaro kwenye biashara ya Vyama vya siasa kama miradi.
Mwanakijiji anajua kuwa Mbowe analamba Conservative Party YA UK?
6-
wao si wanajifanya wasafi huku wanaowachunguza wanasema ni wachafu. SASA SISI HAPA TUNAENDELEA KUMCHUNGUZA KUKU(MBOWE) HALAFU TUONE KAMA WATAMLA ! SI WALIANZA WENYEWE, SASA ASIKIMBIE MTU HAPA !
kiss his *hahaaaa*..........you can kiss it baby !
Kada,
usianze kutangaza ushindi bubu kwa kuwa unajua kuwa ninakuwa off kila weekend kuachia vidali po uwanja wajisikie kidogo. Nitarudi jumanne (GOD'S willing) kufanya kile nifanyacho best hapa... kuwapa hell mafisadi wanaouza nchi kwa wakoloni kwa msaada wa JM Kikwete!
Karibu Dallas.... halali mtu mpaka Easter Monday!
Kuwa na Easter na Maulidi njema!
Thanks!

mimi nani yako mpaka nijue schedule yako ? hatushei kitanda kimoja, godoro, wala shuka. iweje nijue schedule yako? mimi nani yako ? sikujui, kajikune kwingine sio kwangu !
mimi nani yako mpaka nijue schedule yako ? kajikune kwingine sio kwangu ! kwanza sikujui !
mhhh.... kulikuwa na sababu yoyote ya kunidivosi in public ..lol
watoto wetu nani atawalea sasa kama unanitosa in public hivi...lol?
kuwa na easter na maulid njema.... see u tuesday!

NAAM NAJUA TUKO AWAY WENZETU WAKO HOME GROUND. ILA TUTAWAKOMA GLADI HATA KAMA MAREFARI (MODS) NI WATU WAO.
Kashangae feri sio JF.mwenzangu...?.!!