Na kweli!
Hawa jamaa kwa nini hawamkamati toka 1990? Wanaogopa nini? Mbona 2005 wakati wa kugombea urais hawakumkamata? Mbona wanatoa maagizo ya mahakama bila ya kuyatekeleza? Wanajua sheria iko upande wake, wanatoa tu matamko ya kuyatumia kisiasa. Kwa nini hawakamati mali yake bilicanas?
Huu ni mkakati wa Rostam wa kuonyesha kuwa pamoja na yeye kuanza kurejesha hela za Kagoda, asikamatwe. Kumbe tofauti yake na Mbowe ni kuwa Rostam alighushi nyaraka na kuiba BOT, Mbowe alikopa na kuna mgogoro kuhusu kiwango cha malipo.
Hapa fisadi Rostam ujue umeshindwa; Balille anakupotosha kama alivyompotosha Lowassa ajitokeze na kujisafisha. Kampeleke tena Hull akajifunze spinning.
Siku zako zinahesabika, ni ama tutakupeleka Segerea au utatoroka kurudi nchi yako ya mapateli matapeli
Asha
iko thread ya RA kama una kitu peleka kule hapa tunamkoma nyani fisani lilikokula penseni za wazee wetu (bwana makengeza).Hull alipelekwa na makengeza lakini kwa ujanja wa balile akaona hakuna future Chadema akamuacha njia panda bwana makengeza.
kwani Tundu lisu alikuwa wapi? hamkufunga mkataba na Balile? mmseshindwa kumbana kisheria Balile mtaiweza nchi?