Mbowe ahusishwa na UFISADI wa kuimaliza NSSF

Mbowe ahusishwa na UFISADI wa kuimaliza NSSF

mzee kuna makosa mawili katika swali lako:

a. Kwanza wakati Mbowe anakopa shirika alilokopa halikuwa NSSF ilikuwa ni NPF ambayo ilikuwa inaongozwa na sheria nyingine tofauti. Sheria ya wakati ule iliwezesha kukopesha na ndio maana Sukita, na vyombo vingine viliweza kukopa toka huko.

b. Kwa kuangalia website huwezi kuona yote ambayo NSSF inaweza kufanya kisheria. Hivyo nipendekeze uangalie sheria iliyounda shirika hilo ya mwaka 1997 Ibara ya 62.

Mwanakijiji,

Hii sio paper ya research ya kwenda kupatia Ph.D. NSSF inawakilisha yale yote ya kwake pamoja na ya shirika ambalo waliwarithi. Kwahiyo mtu akisema Mbowe alikopeshwa na NSSF yuko sawa kabisa na yule anayesema alikopeshwa na NPF. Labda kama ni thesis ambayo unatakiwa kila kitu kiwekwe wazi. Ni sawa na kuwaambia CCM wameongoza nchi miaka 40, wewe uanze kusema ni miaka 30 tu.

Kukopa kwa Sukita hakuna tofauti na kukopa kwa Sumaye. Mikopo yote hiyo ilijaa mizengwe ya kisiasa. Mmoja alikopa kwenye NPF wakati mwingine kwenye NSSF. Hakuna cha utofauti wa sheria wala nini. Ni mambo yale yale ya cronysm and corruption.

Suala la investment, NSSF wanafanya investments mbalimbali na ndio lengo lao hasa ili hiyo pesa ilipe. Lakini kikawaida hawakopeshi watu binafsi au mashirika binafsi. kama wangekuwa wanakopesha wangeweka wazi maana kukopesha wateja unahitaji kujitangaza na wala sio sawa na kujenga wenyewe nyumba na mkauza baadaye au mkapangisha ofisi.

Kama wanakopesha niambieni mimi niende nikawaone, je wana ofisi wapi inayokopesha?
 
Hii story ya siku nyingi, inaongelea mambo tunayojadili sasa japo inahusu mfuko mwingine (PPF) lakini mambo ni yale yale corruptions na influences za kisiasa:

Regional News
November 25 - 30, 1998
Experts to Review Tanzania Pension Fund
By PREMY KIBANGA THE EASTAFRICAN
TANZANIA'S PARASTATAL Pension Fund has commissioned PriceWaterHouseCoopers to review its investment portfolio and financial planning and management and advise it on future activities.

The director general of PPF, Mr David Mataka, told the EastAfrican in Arusha that the fund had stopped lending to individuals and companies until it hears from the consulting firm that has undertaken to find the best way to use pen sioners' contributions.

Contributors have recently complained that the fund was dubiously lending money to people without collateral and who were not contributors. It was claimed that some of the people used political influence to get the loans.

Last week, the fund found itself in trouble with the public when, only a day after Mr Mataka declared that they were not lending to politicians and powerful people, Prime Minister Frederick Sumaye admitted publicly that he had borrowed some $74,626 (Tsh50 million) from PPF early this year to construct a house.

Mr Sumaye made the disclosure when he publicly declared his property in a move by Chama Cha Mapinduzi leaders to announced their physical assets.

The admission contradicted a denial last June by the premier's press secretary, Mr Jacob Tesha, who told The EastAfrican then that Mr Sumaye had not borrowed or requested to borrow money from the fund.

The denial followed claims that PPF was lending to powerful individuals, including the then Governor of the Bank of Tanzania, Dr Idris Rashidi. The bank official borrowed $74,626 to purchase a house in Dar es Salaam without collateral. He presented as security the same house he was borrowing money to buy.

Mr Rashidi has since been replaced by Mr Daudi Balali after completing his five-year term in office.

Although his departure from the central bank had no direct link to the PPF loan, the Anti-Corruption Bureau interrogated him on the matter.

Then, suspiscion was high that the pension fund could have been misused by lending to questionable people or on questionable grounds and conditions due to political influence.

The PPF was created to take contributions from employees of state-owned firms and low cadre workers while the National Provident Fund, now renamed National Social Security Fund takes contributions from employees of private firms.

Politicians and government officials do not contribute to either of the funds.

Following the premier's admission that he took the loan, Mr Mataka explained that Mr Sumaye applied for the loan in 1996, within a year of being appointed prime minister by President Benjamin Mkapa following the 1995 general election.

"We gave him the conditions that he must show that he could repay it in ten years and tender an acceptable security. We gave him the lending rates and the instalments he would have to make regularly if he took the loan," Mr Mataka told The EastAfrican.

He said the premier returned to PPF in April or May this year to obtain the loan. "He came back to us and showed us that he will pay and provide the loan security. The fund was satisfied with his response since he was asking for the loan to build his house."

The PPF proceeded to give him 20 per cent of the loan - $14,800, being the first instalment in September this year for laying the foundation of the house.

The premier declared last week he already owns three houses.

Mr Mataka said Mr Sumaye was the only other individual to benfit from the fund's loan after Dr Rashidi.

But PPF admitted having given several loans to private companies, including Fantom Trading Company of Dar es Salaam, which has since failed to repay an unspecified amount it borrowed in July last year. The fund has instituted legal action to recover the loan.

Other companies are Mojata Diary Firms of Dares Salaam, Kijenge Animal Farm Product of Arusha, and the First Adili Bank of Dar es Salaam. The latter repaid its loan but the earlier two have yet to start repaying theirs.

Ironically, the fund declined to extend even small loans to contributors, arguing that they were entitled to a a monthly pension, not loans.

Last month, the Minister for Labour and Youth Development, said money mobilised from members' contributions should be properly invested in assets that benefit the contributors directly.

Both PPF and NSSF have in recent years been investing in huge buildings for office and residential accommodation when the financial guidelines as prescribed by the central bank require social security funds to be used to purchase liquid assets.

Mr Mataka said the fund had stopped giving out loans awaiting the results of the PriceWaterHouseCoopers evaluation.

The fund, he said, would continue with its usual investment in government bills, treasury bills and government deposits.
 
Ndio maana Rev Kishoka akaanzisha topic ya "Tumevamiwa?", nafikiri aliona mbali huyu mwenzetu!
Kuvamiwa ni something that i also expected!However ni wakati wa wana jf kugundua hilo na kutafuta mikakati ya kupambana na hali hii!Ni wazi kuwa jf ilipewa sifa nyingi pamoja na idea kwamba ilikuwa totally responsible kwenye mchakato mzima wa kisiasa ambao umepelekea kuporomoka ama kufa kisiasa kwa badhi ya wanasiasa pamoja na mslahi nnyeti ya vigogo kugusiwa kiundani hapa jamvini!Now with credibility..here comes responsibilty!Are we going to handle it?
 
attachment.php
 
siku zote nashangaa mbowe anakuwaga wapi kuja kujibu vitu vya namna hii !

Wakati huo huo hushangai aliyetamka "Mimi nimeshastaafu na siasa niacheni nipite" wakati huo huo kuna kashfa nzito dhidi yake alipokuwa Rais na aliwahi kuwatukana Watanzania kama tuna wivu na wavivu wa kufikiri, hadi hii leo hajajibu tuhuma chungu nzima dhidi yake au aliyetamka "Mwacheni Mzee wetu astaafu kwa amani
 
Hizi ndo issue zinazotia kichefuchefu!Hivi kweli mamia ya mabilioni yanatafunwa hapa hapa bongo halafu hawa watoto wanafumbiwa macho!Halafu maprofesa wenyewe wa wa hapo Dar U sometimes unakutana nao muda wa lecture wanachapa mtindi tu kwa mwendo wa mbele huku wakiwa na mabaamedi!Nobody just gives a damn about our current and our next generation no more!imebakia kwenye kauli tu na upumbavu kama huu unaoendelea hapa jf wa kujaribu kuwapotosha wananchi na kufuta mawazo ya mapambano dhidi ya mafisadi wa kweli!Issue za wapi tunakoelekea!MAFISADI NI LAZIMA WARUDISHE PESA WALIZOIBA,WAFUNGULIWE MASHTAKA..PESA WALIZORUDISHA ZIKAWANUNULIE WANAFUNZI HAWA MADAWATI..BAADA YA HAPO NDIO MJADALA WA MKOPO WA MBOWE ULETWE!
 
Wakati huo huo hushangai aliyetamka "Mimi nimeshastaafu na siasa niacheni nipite" wakati huo huo kuna kashfa nzito dhidi yake alipokuwa Rais na aliwahi kuwatukana Watanzania kama tuna wivu na wavivu wa kufikiri, hadi hii leo hajajibu tuhuma chungu nzima dhidi yake au aliyetamka "Mwacheni Mzee wetu astaafu kwa amani

kuna breaking news kule, umeisoma ??
 
Waungwana,

Mbona Mbowe amekuwa akiandamwa sana sikuhizi? Kunani? kila thread Mbowe mbowe

Mi sielewi kuna kitu hapa! kwanini hawaandamwi CUF, TLP au NCCR?

Kuna nini jamani?
 
Waungwana,

Mbona Mbowe amekuwa akiandamwa sana sikuhizi? Kunani? kila thread Mbowe mbowe

Mi sielewi kuna kitu hapa! kwanini hawaandamwi CUF, TLP au NCCR?

Kuna nini jamani?

Mkuu FD, na mimi nilikuwa najiuliza swali hilohilo, Mbowe kapanda, Mbowe kashuka, Mbowe hivi, Mbowe vile...vipi!

Kwanza uchaguzi uliopita kwa ujumla CUF ilifanya vizuri zaidi kuliko CHADEMA, hivyo ningetegemea Prof. Lipumba na CUF wangeonekana kuwa tishio zaidi kwa chama tawala kuliko Mbowe na CHADEMA, au kuna la ziada ambalo wengine hatulifahamu? Au je ni kampeni ya kumpandisha Mbowe "chati hewa" ajione tishio sana kwa CCM, probably hoping that he(Mbowe) will take the bait and underestimate CCM. I am just wondering!
 
Waungwana,

Mbona Mbowe amekuwa akiandamwa sana sikuhizi? Kunani? kila thread Mbowe mbowe Mi sielewi kuna kitu hapa! kwanini hawaandamwi CUF, TLP au NCCR? Kuna nini jamani?

Kwa mara ya kwanza ninataka ku-admit kuwa sasa hapa JF, tumevamiwa, tumevamiwa na watu wasiokuwa na nia njema na hii forum, mimi nayaita majaribu kama yale ya kutaka kufungiwa,

lakini ninasema hakuna cha kuogopa, ni lazima wavamizi wafundishwe kuwa we are not what they think we are, na kwamba hatuko hapa kujadili udaku, ninawaomba wale wote wapenda ustaarabu tuwe macho, na pia tuwe waangalifu na hizi mada mpya zinazozuka kila siku, huenda tusipozirukia rukia watajifunza, sometimes ni vyema wakija tukawaachia wajadiliane wenyewe, regardless of how temptetious topic zao are, lakini ukweli ni kwamba somethig is not right na kinachoendelea sasa hapa.

Kwenye hili tuweke uvyama wetu pembeni, ili kusimamia heshima yetu na ustaarabu wetu wa taifa na jamii yetu, wakuu tusikubali kuburuzwa na hawa vimbwenelehi, na malimbukeni wa siasa, wakati mwingine tukizioona tu hizo mada zao tukumbushane mara moja, maana huwa sio ngumu kuzijua.

Ahsante Wakuu
 
FD,

Kwa maoni yangu, tatizo ni hao wanaokuja kumkingia kifua Mbowe kwenye kila jambo. Unajua ukiziba sana nyumba yako, watu wanakuja kuchungulia ili wajue kuna nini? Huenda huko ndani kukawa na siri kubwa unayoficha.

Kuna watu wanazidisha kutetea kila kitu cha Mbowe na matokeo yake wanasababisha mijadala kuendelea na kuendelea. Kibaya hawataki kujadili hoja, wanataka issues za Mbowe zisijadiliwe kabisa.

Dawa ni kuacha thread ambayo unaona haina maana na itakufa a natural death.

Imebidi wengine tukae upande mwingine ili kuleta balance na kulinda heshima ya JF maana vinginevyo, tutaanza kuimbishwa wimbo wa Mbowe na CHADEMA hapa.

So long as watu hawaandiki matusi, mimi naona tuwaache waandike tu. Kama habari imejaa mifupa tu, itapotea yenyewe.

Kama mtu huna hoja ya kuandika kaa kimya na sio kuanza kuzuia watu wengine wasiandike.

Mimi nikiona hoja ni udaku au facts zake haziko sawa, huwa sihangaiki nayo. Ni kama hii thread, labda watu wangeidharau, ingelikuwa imekufa zamani.
 
Kwenye naungana nawe Es .Sasa ni wakati wa Asha , Mwafrika na wengine wazoefu wa Forum kuachana kujibizana na akina Kada .Waacheni na mada zao watu wote wa zamani hapa mnajuana na dawa ni kuwadharau.Huko nyuma nimeona Lunyungu aliwapata tahadhari lakini naona hamkuelewa .waacheni na mada zao na zitakufa zenyewe kujibizana nao kuna haribu kila mada na sasa tumekuwa kijiwe na si mahali pa kukata issue tena .
 
Kwa maoni yangu, tatizo ni hao wanaokuja kumkingia kifua Mbowe kwenye kila jambo.

Ndugu yangu Mtanzania,

Heshima mbele, ni haki ya kila mwananchi kutetea anchoamini kama vile ilivyo haki ya kila mwananchi kushambulia anachoamini, lakini sio haki ya kila mwananchi kuleta uongo na udaku, au mada zisizokuwa na kichwa wala miguuu, hakatazwi mtu kutetea anything as long as ana hoja na sio matusi na lugha za choooni,

Mimi sikatai na wala sichukizwi na wale wanaomtetea Mbowe, lakini nina tatizo na hizi mada mpya zisizokuwa na heshima wala ustaarabu, na ninasema hivi form now on nikiziona tu nitasema, na ninawaomba wale wote walio wastaarabu kama mimi tukatae kuburuzwa na hawa wapuuzi, uhuru wa speech sio sababu ya kukosa heshima kwa jamaii na sisi wenyewe kutoheshimiana, zinapotokea tu hizo mada zao tukumbushane wakuu.

Just say No to nonesense!
 
Kweli bwana Salim,

Inabidi kweli kuwe na balance hapa JF, ccm lazima nao wapate utetezi hapa maana ufisadi haukuanza leo. Inabidi sasa wewe na wanachama wengine wengi wa ccm tuje hapa kwa wingi ili na sisi tuwachafue viongozi wa upinzani maana hii sasa imezidi.

Cdhani kama JF ipo kumchafua mtu yeyote bali kuanika ukweli uliofichika for most of us for sometimes now. But that facts should be supported in order to be discussed hapa.

Unaposema muungane kuwatete mafisadi eti kwa sababu ufisadi haukuanza leo nadhani utakua unakosea kidogo.

Kinachotakiwa JF ni evidence ya hoja inayotaka jadiliwa na sio mtoa hoja ama anayejadiliwa katoka chama gani.

Kama kuna uthibitisho wowote wa hili la FM basi na uletwe of which naamini wana JF wataunyambua kiumakini kabisa bila kujali itikidi ya kichama
 
Hivi na ile skendo ya Mbowe kutembea na mama Mkapa na pia kuwa anamfuatilia mke wa Kikwete kwani imeishia wapi? Watu wanadhani hapa ni mchezo, wao chadema wakileta ya Buzwagi na BoT basi wategemee na sisi CCM kuleta ufisadi wao wa ngono hapa JF!

Masaka na Fisadi Mtoto.....na wanaosapoti hii hoja....Kweli nyie ni watoto......
 
Masaka na Fisadi Mtoto.....na wanaosapoti hii hoja....Kweli nyie ni watoto......

Kazi ipo JF, nimemfatilia zephaniaanjela post zake naona yupo kwa special mission angalia post zake 13

1. Kumhusisha Kikwete na IPTL ni uzushi leo hii kapost
2. Uko wapi uaminifu na uadilifu- Leo
3. Mbowe amepanda Uchagga ndani ya Chadema- Leo
4. Uenyekiti UVCCM ni 'kuchafuana' majina - Leo
5. Yusuph Makamba-Mbunge wa kuteuliwa - Jana
6. Mbowe ni fisadi mzoefu - Jana
7. Dk. Nchimbi tulia! Mwosha huoshwa - Jana
8. Dk. Nchimbi tulia! Mwosha huoshwa March 19
9. Dk. Nchimbi tulia! Mwosha huoshwa - March 17
10. Dk. Nchimbi tulia! Mwosha huoshwa - March 17
11. Dk. Nchimbi tulia! Mwosha huoshwa - March 17
12. Do You Know This? - March 10
13. Je, Ridhwan Kikwete naye ni fisadi? March 6

Ukifatilia posts za mshikaji utaona anakazi moja kutetea chama tawala na yatokanayo, ie Nchimbi, Kikwete, Ridhiwani, Makamba na kuendeleza vita zidi ya Mbowe mmmhh kazi kweli kweli ni uhuru wake wa kujieleza lakini naona yeye hupost tu haji kutetea hoja zake...ama kweli JF imeingiliwa.....
 
Kama ningetumia lugha ya kidaktari - Ningesema huhitaji "differential diagnosis" - tumeshamjua jamaa ni mtu wa aina gani na mawazo yake na msimamo wake ni upi? Anatataka kupoteza lengo na kusahaulisha mada ya mafisadi haswa na hilo hatofanikiwa.
 
FD,

Kwa maoni yangu, tatizo ni hao wanaokuja kumkingia kifua Mbowe kwenye kila jambo. Unajua ukiziba sana nyumba yako, watu wanakuja kuchungulia ili wajue kuna nini? Huenda huko ndani kukawa na siri kubwa unayoficha.

Kuna watu wanazidisha kutetea kila kitu cha Mbowe na matokeo yake wanasababisha mijadala kuendelea na kuendelea. Kibaya hawataki kujadili hoja, wanataka issues za Mbowe zisijadiliwe kabisa.

Dawa ni kuacha thread ambayo unaona haina maana na itakufa a natural death.

Imebidi wengine tukae upande mwingine ili kuleta balance na kulinda heshima ya JF maana vinginevyo, tutaanza kuimbishwa wimbo wa Mbowe na CHADEMA hapa.

So long as watu hawaandiki matusi, mimi naona tuwaache waandike tu. Kama habari imejaa mifupa tu, itapotea yenyewe.

Kama mtu huna hoja ya kuandika kaa kimya na sio kuanza kuzuia watu wengine wasiandike.

Mimi nikiona hoja ni udaku au facts zake haziko sawa, huwa sihangaiki nayo. Ni kama hii thread, labda watu wangeidharau, ingelikuwa imekufa zamani.

well said ! Great !
 
me i told u guys to ignore these people, they r up to no good that for sure, i told them once and am telling them twice they need to change their strategy sababu tushawabaini, cjawahi fikiri kuwa kuna watu wanaweza ku stoop so low, kama hivi this is childish kabisa, kama lengo lenu ni kutuzuga mtashindwa! sio kwamba namtetea mbowe because i dont know the guy personaly, but pliz lets stick to the real issues hasa hapa jukwaa la siasa, lets put itikadi zetu pembeni na tujadili mambo yanayohusu mustakabali wa nchi yetu kama watu wazima na hii jf hasa kwenye forum hii ni sehemu nzuri inayoweza kuleta na imeshaanza kuleta mabadiliko katika nchi yetu, TUITUMIE VIZURI. THATS ALL.
 
Back
Top Bottom