Nchi za wenzetu ukifilisika/filisiwa unaachia ngazi zote za kisiasa ulizonazo!
Sasa biashara ya Mbowe inatuhusu nini sisi hapa hili ni jukwaa la siasa kama ni issue ya biashara pelekeni kwenye biashara mbona mnampa jina huyo Mbowe ili tujue kuwa ana biashara au? cheap popularity ondoa hapa
Siyo nchi za wenzetu tu,hata hapa kwetu.Lakini elewa MBOWE HOTEL LTD ndiyo inayofilisiwa wala siyo Freeman Aikael Mbowe. Watanzania hebu tujielimishe kabla ya kuchangia au kutoa hoja tusiwe tunakurupuka. Corporate body is separate from its owner. If the corporate body is declared bankrupt, haimaanishi owner naye anakuwa bankrupt.Nchi za wenzetu ukifilisika/filisiwa unaachia ngazi zote za kisiasa ulizonazo!
(hapo kwenye red)
ukiwa na status ya Premium Member hupashwi kuwaza ki-mbayuwayu-mbayuwayu namna hiyo.
Sio kweli. Mbona EPA tumesahau!
Sio kweli. Mbona EPA tumesahau!
NOTICE OF APPOINTMENT OF RECEIVER/MANAGER
Notice is hereby to the general that I, Charles Rutayuga Burchard Rwechungura of CRB Africa Legal, Dar es Salaam, was appointed by the National Social Security Fund ("NSSF") to Receiver/Manager of the Mbowe Hotel Limited (the "Company") effective from 25th January 2011
Linaendelea hivo hilo tangazo kwenye gazeti la Mwananchi la leo. Freeman ameshindwa kuwalipa hawa jamaa au? Tungemkabidhi Nchi mwaka 2005........!
Enzi za Mwalimu, hiyo ilikuwa inakuondoa kwenye Uongozi na tunataifisha huo ukwasi. Sasa hivi mh!Na ukiwa milionea bila ya chanzo hasa cha huo ukwasi kujulikana huku ni kiongozi wa umma unafanyaje kwenye nchi za wenzetu...!
kusahau dowans ni sawa na kusahau tarehe aliyokufa mzazi wako
Naomba connection kati ya Mbowe Hotel Limited na Freeman Mbowe
Kwenye halmashauri ya kichwa chako huwa kuna walakini, nasema siku zote
Politics hizo,leteni thread zenye akili
muanzisha mada ni mbumbumbu wa uchumi na biashara.
Nisaidie wewe basi! Au twende BRELA kuwajua wamilki wa kampuni hii?
Hio ni mada nyingine. Mwambieni Mbowe arudishe hela WAFANYAKAZI wetu.
nchi za wenzetu ukifilisika/filisiwa unaachia ngazi zote za kisiasa ulizonazo!
Ina maana gazeti tukufu la Mwananchi limebandika crap? Hii kampuni ingekuwa ya RA..........nani aende BRELA? mimi au wewe?
wewe ndo ulipashwa kwenda BRELA kabla ya kuweka crap yako hapa.