Mbowe ahusishwa na UFISADI wa kuimaliza NSSF

Mbowe ahusishwa na UFISADI wa kuimaliza NSSF

Nchi za wenzetu ukifilisika/filisiwa unaachia ngazi zote za kisiasa ulizonazo!

Na ukiwa milionea bila ya chanzo hasa cha huo ukwasi kujulikana huku ni kiongozi wa umma unafanyaje kwenye nchi za wenzetu...!
 
Sasa biashara ya Mbowe inatuhusu nini sisi hapa hili ni jukwaa la siasa kama ni issue ya biashara pelekeni kwenye biashara mbona mnampa jina huyo Mbowe ili tujue kuwa ana biashara au? cheap popularity ondoa hapa

Hili ni jukwaa la siasa na Mbowe ni mwanasiasa. Huwezi kuwazuia watu kumjadili, unachoweza ni kukaa kimya ama hayakuhusu.
 
Nchi za wenzetu ukifilisika/filisiwa unaachia ngazi zote za kisiasa ulizonazo!
Siyo nchi za wenzetu tu,hata hapa kwetu.Lakini elewa MBOWE HOTEL LTD ndiyo inayofilisiwa wala siyo Freeman Aikael Mbowe. Watanzania hebu tujielimishe kabla ya kuchangia au kutoa hoja tusiwe tunakurupuka. Corporate body is separate from its owner. If the corporate body is declared bankrupt, haimaanishi owner naye anakuwa bankrupt.

Hata suala la kaiba tunasema watu vijijini hawaijui,lakini kiukweli hata mijini watu wanaropoka tu hata hawajui wanaongea nini.
 
(hapo kwenye red)
ukiwa na status ya Premium Member hupashwi kuwaza ki-mbayuwayu-mbayuwayu namna hiyo.

Nasikia anaishawishi kamati kuu ya CDM itoe ridhaa ya kumlipia deni. Tungewapa hawa jamaa nchi ingefilisika vibaya aisee !
 
Sio kweli. Mbona EPA tumesahau!

EPA ni wizi lakini wananchi walikuwa wanaona ni yaliyopita. Lakini Dowans watu wanauona ni wizi uliopita na ujao. Pesa zetu tumewalipa kama capacity charges bila kuzalisha umeme kama makubaliano, lakini pia tunatakiwa kuwalipa kwa kuvunja mkataba (mkataba feki). Huu ni wizi wa wazi wazi,ukichukulia Dowans ni wenzetu humu humu. Nimesikitika kusoma gazeti la East African,eti sheria za nchi zilibadilishwa ili kumfavour jamaa mwenye POWER OF ATTORNEY.
 
NOTICE OF APPOINTMENT OF RECEIVER/MANAGER
Notice is hereby to the general that I, Charles Rutayuga Burchard Rwechungura of CRB Africa Legal, Dar es Salaam, was appointed by the National Social Security Fund ("NSSF") to Receiver/Manager of the Mbowe Hotel Limited (the "Company") effective from 25th January 2011
Linaendelea hivo hilo tangazo kwenye gazeti la Mwananchi la leo. Freeman ameshindwa kuwalipa hawa jamaa au? Tungemkabidhi Nchi mwaka 2005........!

Naomba connection kati ya Mbowe Hotel Limited na Freeman Mbowe
 
Na ukiwa milionea bila ya chanzo hasa cha huo ukwasi kujulikana huku ni kiongozi wa umma unafanyaje kwenye nchi za wenzetu...!
Enzi za Mwalimu, hiyo ilikuwa inakuondoa kwenye Uongozi na tunataifisha huo ukwasi. Sasa hivi mh!
 
Back
Top Bottom