Mpaka Kieleweke
JF-Expert Member
- Feb 27, 2007
- 4,132
- 1,577
Hapa Mbowe kashaweka hadharani mambo yake na jinsi ambavyo deni lake na wadeni wake wanachokitaka kutoka kwake.
Na kwa kuwa hii kesi ipo mahakamni na tena itasikilizwa tarehe 29 April kuna hgaja ya NSSF kuja kutoa majibu ya kina kwani sisi wengine ni wanachama na tunaposikia kuwa shirika linafilisika hapaio tunapatwa na wasiwasi mklubwa sana kwani huenda kuna jambo linakuja na hapo baadae tukaambiwa kuwa shirika limefilisika na hapa wasnajaribu kutuandaa kisaikolojia tuu.
Kama Mbowe alikopa 15 milioni na ameshalipa 75 milioni maana yake ni kuwa tayari ameshalipa deni mama na kinachoendelea sasa ni kuwa NSSF wanajitengenezea aida kubwa tuu hapo ...hii kweli ni buiashara nzuri.
Hivi hizi faida kubwa kiasi hiki wanazojitengenezea NSSF je?wanachama wa mfuko huu tunanufaika vipi na hizi faida?kwani sisi ndio ambao tumeweka mitaji yetu humo jamani .
Balile alikufa na story ya Rai akidhani itaweza kumzamisha mtu na ndio maana alidiriki kubadilisha heading na kuandika ya kwake ambayo mhariri aliikataa na kuibadilisha ,na naambiwa tayari makala nyingi na ndefu zilikuwa tayari zimeandaliwa toleo lijalo kwa ajili ya kumzamisha Mbowe... kalagabaho.......
Nami nauliza hivi ..Manji Yusuph,Azizi Rostam , Super Doll et al wanadaiwa kiasi gani ama hawa wao hawawezi kupelekwa mahakamani ama hata kutajwa?++
Waiting to see jambo ambalo linapuikwa hapa na linakuja soon ,msidharau hii stori na ilikotokea ...NSSF iko hali mbaya wajameni inashindwa hata kuendeleza miradi mikubwa kama ule wa daraja la kigamboni fungueni kopi za macho na kuweza kuona kwa usahihi msipuuzie hivi vitu.