Chapakazi
JF-Expert Member
- Apr 19, 2009
- 2,874
- 316
Nchi za wenzetu ukifilisika/filisiwa unaachia ngazi zote za kisiasa ulizonazo!
really??? tupe mfano...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nchi za wenzetu ukifilisika/filisiwa unaachia ngazi zote za kisiasa ulizonazo!
Tunashangaa Mbowe Hotel Ltd kudaiwa vimilioni wakati Dowans na wadogo zake watakaozaliwa tutawalipia watanzania wote? Achilia mbali external dedt ambayo inazidi kujilimbikiza na ni lazima tulipe au vinginevyo dunia ituonee tena huruma ifute kama walivyofanya enzi za mkapa. Hivi mbona enzi za JK sijisikia tumefutiwa angalau ka deni kamoja wakaki kila mara anapanda pipa? Ohhh nimesahau kuwa anaenda kutembeza bakuli la misaada!!! Hivi misaada hii inaishia wapi wakati wananchi walio wengi hawana huduma muhimu, chakula, malazi, etc. Kudaiwa katika biashara kama Mbowe Hotel si jambo la kushangaza!!! Mbona makampuni makubwa ya nchi tajiri wamefilisika na wamepotea katika ramani ya biashara ya dunia na hatusemi? Hivi hii credit crunch imekumba makampuni mangapi makubwa ya ulaya na marekani? Tufikiri kabla ya kunena, use facts, evidences, etc. Do scientific arguing!!
Hapana. sina taaluma yoyote! Cha mno nini hasa. Nimenukuu tu tangazo lile. Ignorance yangu ni nini hapo!
really??? tupe mfano...
Katiba mpya inayokuja viongozi kama hawa ambao wameshindwa kuongoza kampuni mpaka imefilisika kwa kutokuwa wabunifu inabidi wasichaguliwe kuwa viongozi. Kama ameshindwa kuongoza kampuni ya watu 200 atawezaje kuongoza CHADEMA yenye watu milioni 2 ? Hii ina maana kuwa hata CHADEMA wanaongozwa na mtu asiye na upeo na wao vile vile wamefilisika kisiasa
Inadaiwa kampuni nan siyo Freemen mwanasiasa ambaye wewe unataka tuamini hivyo
Watanzania wanakopa kitapeli. Wanajua watacheza na mahakama zetu deni litapotea. Kwa nini fedha za WAFANYAKAZI wetu wa kawaida kabisa wafaidike wachache?
Kweli makada mmeishiwa hoja....kampuni inapokwama kibiashara ni menejiment au wamiliki ndio wenye matata? SUKITA SI ILIKUFA MBONA MAPAKA LEO CCM ipo ofisini...grow up cadres
Mkuu Deni la Mbowe Hotel Ltd si kubwa kihivyo!!!!! Ni kwa vile ni siri ya mkopaji na mkopeshaji but tungeliweka hapa. Kuna watu wamekopa NSSF mihela ya nguvu na hawawatiwi hadharani japo ni defaulters. Mbowe amewekwa hapa na magazetini kwa sababu ya kisiasa zaidi. Hebu Ramandhani Dau atoe hadharani transparent list ya defaulters na kiasi cha deni? Kama ni mwanaume anajiamini afanye hivyo!!! Kuna madudu NSSF!!!! Sikatai mkoppaji kulipa deni but nachukia pale ambako mdaiwa anatuhumiwa kwa sababu ya kisiasa zaidi. But Watanzania tumshaamka hatudanganyiki kabisa. Mbona mlileta habari za Slaa na Josephine na bado JK wenu akapigwa chali akaokolewa na UWT?
Naomba connection kati ya Mbowe Hotel Limited na Freeman Mbowe
Tena CCM imeua vingi.......SUKITA, Mradi wa mabasi ya wanafunzi (UVCCM), Ambassador Hotel pale Morocco iliwashinda mpaka wakauza jengo, Shule za jumuiya za wazazi wa CCM ziko hoi bin taaban....lakini kazi kufuatilia issue za Mbowe wakati wao wanayo mengi na makubwa.
Sikumaanisha hivyo ....wanachotakiwa kufanya ni kuweka siasa pembeni [level playing field to all] ....kama mtu anadaiwa adaiwe kwa haki na akishindwa afilisiwe. Unakumbuka mambo ya CIS(Commodity Import Support) tangu enzi za Mwinyi na ni zaidi ya TShs 180 billioni.....ni makada wangapi wa CCM wanadaiwa ROSTAM akiwemo mpaka leo hatujasikia hatua zozote ingawa walijifanya kuja na mkwara wakati fulani.Kwa kuwa CCM walifanya haya na Mbowe naye afanye hivo? Tofauti itakuwa ipi sasa! Combat na shati za kijani?
Hebu iondoeni CHADEMA kwenye mada hii. CHADEMA ni zaidi ya Mbowe sasa.
Taratibu za kimahakama zimefuatwa. Siasa hapa ni kitu gani? Mbowe ameniangusha.Sikumaanisha hivyo ....wanachotakiwa kufanya ni kuweka siasa pembeni [level playing field to all] ....kama mtu anadaiwa adaiwe kwa haki na akishindwa afilisiwe. Unakumbuka mambo ya CIS(Commodity Import Support) tangu enzi za Mwinyi na ni zaidi ya TShs 180 billioni.....ni makada wangapi wa CCM wanadaiwa ROSTAM akiwemo mpaka leo hatujasikia hatua zozote ingawa walijifanya kuja na mkwara wakati fulani.
mkuu ukiwa muongo usiwe msahaulifu (kilaza)...............
umehitimisha bandiko kwa sentensi hii hapa chini:
"Tungemkabidhi Nchi mwaka 2005........!"
hivi 2005 Mbowe alikuwa anagombea kupitia chama gani?
una maana gani unaposema.............
"Hebu iondoeni CHADEMA kwenye mada hii"
jamani nyiee?
watu wa CCM bwana.
yaani mtu ukiwa CCM unakuwa kiburudisho kabisaaaaaaaaaaaa!
daah majungu hayatakwisha milele!kwa kuwa ccm walifanya haya na mbowe naye afanye hivo? Tofauti itakuwa ipi sasa! Combat na shati za kijani?
daah majungu hayatakwisha milele!