KadaMpinzani
JF-Expert Member
- Jan 31, 2007
- 3,715
- 92
asha abdalla leo uko wapi ? njoo basi utujibu dada ! au ndio upo mafichoni tena ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NA HILI LA SISTER WA MBOWE KUTORUDI TZ LINAHITAJI MAJIBU ZAIDI YA CHENGA.......!
Wakuu wote heshima mbele, naomba kurekebisha hili la dada wa Freeman, Selina, ambaye ni rafiki yangu sana na tunawasiliana sana all the time,
1. Si kweli kwamba anaogopa kurudi nyumbani, ameolewa na ana watoto wawili na anaishi na mumewe, na ni mwaka jana tu alikuwa nyumbani hapa bongo kwa likizo ya muda wa miezi miwili, akiwa na watoto wake, walianzia Dar, na baadaye kwenda kijijini huko Machame, baadaye kurudi Dar, kabla ya kwenda tena huko US wanakoishi yeye na mumewe, sasa hii ya kuogopa kurudi sio kweli kabisaa kwa aliyeileta hapa hii.
2. Kwamba ati aliiiba hela BOT, no way! kwanza nyumbani kwao hakujawahi kuwa na shida ya yeye kufikia kuiba, I mean yeye ni mcha Mungu wa kweli ambaye hata hawezi kuokota hela ambayo sio yake, kwenye hili mmeeenda mbali kidogo wakuu, I have spend a lot of time nyumbani kwao Sea View no way ninasema kuwa anaweza kuiba helka ya mtu, kwa wale mlioileta hii ya kumchafua huyu dada, naomba mumuombe Mungu wenu, maana sio ustaarabu kabisa, siasa ziishie kwa kaka yake ambaye najua kuwa anao ubavu wa kusimama mwenyewe, lakini msisogeze mashambulizi yenu kwa innocent people,
Kuna wanaojaribu ku-raise their families in the right way, na huyu dada ni mmoja wao, sasa what is this? Wakuu acheni hizi ni just too low.
Ahsanteni Wakuu.
Mtanzania,
nimekuuliza hili swali over and over again kuwa Mbowe anadaiwa kiasi gani na terms za deni lake ni zipi lakini naona umeamua kukaa kimya....
Wakati mwingine NSSF wamesema kuwa Mbowe alipewa miaka mitano ya kulipa deni lake na wakati mwingine wakafungua kesi ya kudai kuwa pesa yote waliyoamua wao NSSF ilipwe. Kama mahakama za Tanzania haziamua swala muhimu kama hili je hiyo kesi ya mafisadi inayokuja ambayo hata Kikwete mwenyewe yumo zitaamua?
Bado nataka hii thread iwe hapa juu kabisa ili ijadiliwe kwa undani na uongo na ukweli wa hili deni la Mbowe ujulikane!
Mwafrika wa Kike,
Unataka nijibu mara ngapi? Nilishasema mimi sijui Mbowe anadaiwa ngapi na wala hiyo sio msingi wa hoja yangu. Ninachojua anadaiwa kwasababu yeye mwenyewe kasema hivyo na pia NSSF wamesema wanamdai.
Binafsi sijali anadaiwa shilingi moja au bilioni moja. Hoja hapa ni kwamba kashindwa kumaliza deni kwenye mfuko wa walala hoi kwa miaka 18. Pia kama
ambavyo nimeandika mara nyingi, ile kukopa NSSF tu tayari ni issue.
Mikopo karibu yote ya NSSF au NPF inaongizana na cronysm au corruption. Ni watu wangapi maskini wanaoweza kukopa huko hata kama wana sifa zote? Ni yale yale ya wanasiasa na matajiri kuacha shule zinakufa wakati wao wanapeleka watoto wao kusoma nje ya nchi.
Mikopo TZ ni tatizo, tatizo hilo litatatuliwa tu pale ambapo wanasiasa wataacha kukimbilia kukopa kwenye mifuko ya wanyonge na badala yake kutafuta
suluhisho la kudumu juu ya tatizo hilo.
Sijali ni Mbowe au Sumaye, msimamo wangu juu ya hilo suala ni huo huo.
siku zote nashangaa mbowe anakuwaga wapi kuja kujibu vitu vya namna hii !
Kadri ninavyojua, mashirika kama NSSF yanajiendesha kwa kutoa mikopo ili kutumia faida iliyopatikana kulipa benefits za walio tunza pesa huko.
Swala la nani anaruhusiwa kukopa NSSF na nani aruhusiwi silijui lakini ninavyojua ni kuwa linatakiwa kutoa mikopo na kuwa na miradi ili kupata pesa ya kulipa mafao kwa wawekezaji wake.
SS ya Marekani ni mkopeshaji mzuri sana kwa serikali kuu ya US. Na so far nadhani NSSF ingekuwa inafanya the same thing pia. Deni la Mbowe linabishaniwa na NSSF yenyewe ambayo imekanusha kuwa sio kweli deni la Mbowe limefilisi shirika.
Kwa vile wote hapa hatujui kuwa mbowe anadaiwa kiasi gani, na kwa vile NSSF ndio wamefungua kesi mahakamani dhidi ya Mbowe na huku Mbowe naye akifungua kesi kupinga namna walivyofanya hesabu ya riba, nadhani tuungane hapa ili kushinikiza kuwa madeni yote ya NSSF (kuanzia ya kina Mkullo, Manji, Rostam, na Kikwete pamoja na hili la Mbowe) yakachunguzwa na tume huru ya bunge ili ijulikane nani alikopa nini na kwa riba gani!
Siwezi kukataa kuamini kuwa NSSF wanapandisha deni hili kwa makusudi na wanachelewa kumaliza hii case ili waitumie kama leverage dhidi ya Mbowe kisiasa. Kama vile ninavyodai kuwa serikali ivunje mikataba mibovu ya iptl, ningedai pia kuwa Mbowe asikubali kubadilishiwa terms za mkopo wake kwa sababu zozote zile.
Kwa sasa... inasubiriwa report huru ya kuonesha terms na thamani halisi ya mkopo wa Mbowe, otherwise bado sishangai kuwa Mkullo ni waziri wa fedha pamoja na kashfa zote alizonazo....connecting the dots here!
Mwafrika wa Kike,
Website ya NSSF ni hii hapa chini, niambie wapi ambapo angalau wanaongelea kwamba wanakopesha?
http://www.nssf.or.tz/
Of course ukiwa na cheo au pesa za kuhonga, watakukopesha tu, hata kama ni nje ya utaratibu wao.
Mwafrika wa Kike,
Website ya NSSF ni hii hapa chini, niambie wapi ambapo angalau wanaongelea kwamba wanakopesha?
http://www.nssf.or.tz/
Of course ukiwa na cheo au pesa za kuhonga, watakukopesha tu, hata kama ni nje ya utaratibu wao.
MAKUBWA HAYA ....MTU ANAEKAA KWAO SEA VIEW KIASI KWAMBA KWAO HAKUNA SHIDA YA KUIBA BOT....?Wakuu wote heshima mbele, naomba kurekebisha hili la dada wa Freeman, Selina, ambaye ni rafiki yangu sana na tunawasiliana sana all the time,
1. Si kweli kwamba anaogopa kurudi nyumbani, ameolewa na ana watoto wawili na anaishi na mumewe, na ni mwaka jana tu alikuwa nyumbani hapa bongo kwa likizo ya muda wa miezi miwili, akiwa na watoto wake, walianzia Dar, na baadaye kwenda kijijini huko Machame, baadaye kurudi Dar, kabla ya kwenda tena huko US wanakoishi yeye na mumewe, sasa hii ya kuogopa kurudi sio kweli kabisaa kwa aliyeileta hapa hii ni uongo wa mchana tena kweupeee!
2. Kwamba ati aliiiba hela BOT, no way! kwanza nyumbani kwao hakujawahi kuwa na shida ya yeye kufikia kuiba, I mean yeye ni mcha Mungu wa kweli ambaye hata hawezi kuokota hela ambayo sio yake, kwenye hili mmeeenda mbali kidogo wakuu, I have spend a lot of time nyumbani kwao Sea View no way ninasema kuwa anaweza kuiba hela ya mtu, kwa wale mlioileta hii ya kumchafua huyu dada, naomba mumuombe Mungu wenu radhi, maana sio ustaarabu kabisa, siasa ziishie kwa kaka yake ambaye najua kuwa anao ubavu wa kusimama mwenyewe, lakini msisogeze mashambulizi yenu kwa innocent people, ambao hawawezi kuja hapa kujitetea,
Kuna wanaojaribu ku-raise their families in the right way, na huyu dada ni mmoja wao, sasa what is this? Wakuu acheni hizi ni just too low.
Ahsanteni Wakuu.
Mwafrika wa Kike,
Website ya NSSF ni hii hapa chini, niambie wapi ambapo angalau wanaongelea kwamba wanakopesha?
http://www.nssf.or.tz/
Of course ukiwa na cheo au pesa za kuhonga, watakukopesha tu, hata kama ni nje ya utaratibu wao.
mzee kuna makosa mawili katika swali lako:
a. Kwanza wakati Mbowe anakopa shirika alilokopa halikuwa NSSF ilikuwa ni NPF ambayo ilikuwa inaongozwa na sheria nyingine tofauti. Sheria ya wakati ule iliwezesha kukopesha na ndio maana Sukita, na vyombo vingine viliweza kukopa toka huko.
b. Kwa kuangalia website huwezi kuona yote ambayo NSSF inaweza kufanya kisheria. Hivyo nipendekeze uangalie sheria iliyounda shirika hilo ya mwaka 1997 Ibara ya 62.
Mtanzania,
Hilo la kukopesha lisikupe shida hata kidogo. Si unajua NSSF wana miradi mingi ikiwamo yaujenzi wa majengo makubwa wanayouza na yale wanayokodisha kwa wahitaji? Hebu nionyeshe kwenye website yao ni wapi wamesema wana miradi hiyo...na wanaitakeleza kwa taratibu zipi...halafu hilo likusaidie kutafakari swali lako hapo juu.
Mtanzania,
Hilo la kukopesha lisikupe shida hata kidogo. Si unajua NSSF wana miradi mingi ikiwamo yaujenzi wa majengo makubwa wanayouza na yale wanayokodisha kwa wahitaji? Hebu nionyeshe kwenye website yao ni wapi wamesema wana miradi hiyo...na wanaitakeleza kwa taratibu zipi...halafu hilo likusaidie kutafakari swali lako hapo juu.