Mbowe aitaka CCM iweke mfumo wa kudhibiti viongozi wanaoweza kuingia Serikalini, atao mfano ANC inavyoweza kumng'oa Rais

Mbowe aitaka CCM iweke mfumo wa kudhibiti viongozi wanaoweza kuingia Serikalini, atao mfano ANC inavyoweza kumng'oa Rais

Replica

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2017
Posts
1,681
Reaction score
8,887
Mbowe akitolea mfano chama cha ANC kinaweza kumng'oa kiongozi hata kama tayari yuko Ikulu, ameitaka CCM pia iwe na mfumo huo akilalamikia tabu ambazo wapinzani wamepitishwa miaka michache iliyopita na kuitaka CCM badala kuwalinda hata wanaofanya dhambi ya wazi.

Mbowe amesema ameamua kufunguka ili kuiweka roho yake salama na wengine.
 
Ungesubiri kwanza amalize hotuba then ulete habari kamili. Hotuba bado hata robo haijafika wewe unakimbilia wapi?
 
Yeye haamini kama chadema itaenda ikulu hivi karibuni
 
Yeye mwenyekiti wa milele hajiwekei mfumo wa kuwachia wengine!
 
Hoja yake nzuri sana

Pia huo mfumo uwekwe kwenye vyama vya siasa hususani vya upinzani

Maana ni ngumu saaana kumtoa mwenyekiti wa Chama chochote cha upinzani hata kama amekosea labda uwe na pesa kumzidi ndio unaweza kumuondoa.
 
Back
Top Bottom