Mbowe akatisha ziara ya kikazi ili kuwahi Mazishi ya Sabodo, anayezikwa leo usiku

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Taarifa ya dharula ya Chadema iliyosambazwa mitandaoni inaeleza kwamba , Mwenyekiti wa Chama hicho amelazimika kukatisha ziara ya kichama ili kuwahi mazishi ya Bilionea mwenzake Sabodo


Sabodo aliyefariki Alfajiri ya kuamka leo atazikwa leo saa 4 usiku kwenye Makaburi ya Kisutu



INNALILLAH WAINNALILLAH RAAJUUN
 
Kwahiyo ndio hela hiyo inatafutwa leo au? Inawezekana bado hawajapata kiwanja au hawajapewa kibali cha ujenzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…