Mbowe akatisha ziara ya kikazi ili kuwahi Mazishi ya Sabodo, anayezikwa leo usiku

Mbowe akatisha ziara ya kikazi ili kuwahi Mazishi ya Sabodo, anayezikwa leo usiku

Sasa tushike kipi kati ya kifo na milioni 100?

Milioni 100 inajenga madarasa matano.

Mimi ninadhani mtoa mada ndiye mwenye tatizo na siyo CHADEMA kwenye hii mada!
Ili iweje ?
 
Hakika ulikuwa mtu muhimu kama nguzo kama mlezi usiechoka kukiimarisha na kukivusha chama kwenye changamoto lukuki
 
Back
Top Bottom