Mbowe akatisha ziara ya kikazi ili kuwahi Mazishi ya Sabodo, anayezikwa leo usiku

Mbowe kajengea nyumba ya kustaafia huku kijijini Machame.
 
Sasa tushike kipi kati ya kifo na milioni 100?

Milioni 100 inajenga madarasa matano.

Mimi ninadhani mtoa mada ndiye mwenye tatizo na siyo CHADEMA kwenye hii mada!
 
RIP Kamanda mzalendo Mustafa Rajabali Jaffer a.k.a Sabodo alionesha mchango wake kwa vitendo ktk maendeleo ya watu sera yetu ya CHADEMA


View: https://m.youtube.com/watch?v=bzmy2dXAMcM
bilionea kamanda Mustafa Jaffer Sabodo alizaliwa Lindi, Tanzania kwa wazazi wenye asili ya Kihindi. Yeye ni mwanauchumi, mshauri katika masuala ya fedha ya kimataifa ya madeni, na mfanyabiashara. Ana maslahi ya kibiashara nchini India, Ufaransa, Kenya, Sudan, Nigeria, na Zimbabwe.

Makala ktk jarida ikizungumzia ukwasi wa Mzee Sabodo.

Picha hapo chini, Bilionea Sabodo akiwa na m-Mwera mwenzie kutoka Lindi, mheshimiwa Kassim Majaliwa. Bilionea Mustafa Rajabali Jaffer Sabodo hakusahau nyumbani Lindi na alijitolea misaada ya kijamii kfk miradi ya visima vya maji, elimu n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…