Mbowe akatisha ziara ya kikazi ili kuwahi Mazishi ya Sabodo, anayezikwa leo usiku

Mzee wa watu alitoa pesa zichimbe visima ili apate thawabu zake lakini zililiwa bure ufipa hakuna hata kisima kimoja!
 
Tofauti ni kwamba billionaire mbowe anadhulumu wanyonge huku sabodo akisaidia wanyonge
 
Dah! Dunia hii bhana! Unakufa unaacha mahela. Pumzika kwa amani sabodo
Hivi hiyo ziara ya kikazi ni hizi siasa au anazo kazi nyingine huyu mzee Mbowe?
 
Yaani siku hizi Bongo fedha inathaminiwa kuliko wasifu wa binadamu. Ina maana gani kuwa lazima kutaja yeye ni bilionea kabla ya jina lake? Tulivumilia u-Dokta, sasa hii basi ni ujinga. Kwanza unajuaje yeye ni bilionea? Watanzania acheni mambo ya kishamba shamba ya kuabudu pesa! Yaani kama si bilionea ingepunguza nini ktika kuwa amefariki?
 
Eti mbowe ni Bilionaire ambae alikuwa anaishi nyumba ya wazazi hadi mwaka jana
Aliyeta habari hana tofauti na Mwashambwa wa CCM inapokuja habari ya mwenyekiti wake wa maisha, mheshimiwa sana Dj Mbowe. kule Malawi Banda alikuwa raisi wa maisha walimwita President wa muyaya, huko kwenye SACCOS ya Kaskazini nako kuna Chairman wa muyaya..
 
Huyo ndio Mwashambwa wa Chadema
 
Huyo ndio Mwashambwa wa Chadema
Uongo hautakusaidia kitu , mtu mwenye miezi 2 jf kumfananisha na mkongwe wa zaidi ya miaka 10 ni uchawi wa mchana , Hebu sema ukweli , wakati namstaafisha siasa bosi wako Mwakyembe Kyela huyo mamluki wenu mwashambwa alikuwa kishazaliwa ? wewe unajua kila kitu labda ujitoe akili
 
Miaka mingi zaidi ya kumi CDM walipewa milioni 100 mpaka leo haijulikani ziko wapi.
Jamaa mpaka ametutoka bila kujua matumizi ya pesa yake aliyotoa kwa ajili ya ujenzi wa ofisi ya makao makuu yachama.
Chadema mna dhambi nyie, mhhhh!
Rip Sabodo
 
Million 100 imekuuma kama Yako[emoji209]
Ni ya Umma, wakipewa CDM kwa lengo la kuimarisha Chama au kuboresha chochote cha chama hiyo ni yetu sote! tuna Kiongozi, wala usisononeke kwa mtu kuhoji Ilipo hiyo pesa! kama imemlipa Mtu labda alikikopesha Chama Tujue...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…