chiembe JF-Expert Member Joined May 16, 2015 Posts 16,859 Reaction score 28,112 Mar 24, 2024 #61 Bila bila said: Mwanaume unaongelea mil.100 mwaka 2024? Click to expand... Tehetehe, umeandika sms hii ukiwa umebanana kwenye mwendo kasi
Bila bila said: Mwanaume unaongelea mil.100 mwaka 2024? Click to expand... Tehetehe, umeandika sms hii ukiwa umebanana kwenye mwendo kasi
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 128,308 Reaction score 245,426 Mar 24, 2024 Thread starter #62 Kindeena said: Sasa tushike kipi kati ya kifo na milioni 100? Milioni 100 inajenga madarasa matano. Mimi ninadhani mtoa mada ndiye mwenye tatizo na siyo CHADEMA kwenye hii mada! Click to expand... Ili iweje ?
Kindeena said: Sasa tushike kipi kati ya kifo na milioni 100? Milioni 100 inajenga madarasa matano. Mimi ninadhani mtoa mada ndiye mwenye tatizo na siyo CHADEMA kwenye hii mada! Click to expand... Ili iweje ?
kikonyoro JF-Expert Member Joined Aug 24, 2014 Posts 715 Reaction score 331 Mar 24, 2024 #63 RIP Sabodo asante kwa malezi kwa chama chako makini
kikonyoro JF-Expert Member Joined Aug 24, 2014 Posts 715 Reaction score 331 Mar 24, 2024 #64 Hakika ulikuwa mtu muhimu kama nguzo kama mlezi usiechoka kukiimarisha na kukivusha chama kwenye changamoto lukuki
Hakika ulikuwa mtu muhimu kama nguzo kama mlezi usiechoka kukiimarisha na kukivusha chama kwenye changamoto lukuki