Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Mkuu mbona upo nje ya mada?Tengenezeni movie na mliowahonga vyeo mwisho tutauona wote mwisho wa movie husika.
Naomba ujiheshimu.Kada la CCM kwenye ubora wake!
Wasalimie misukule wengine hapo LumumbaNaomba ujiheshimu.
Kamanda mchovu,unaunganisha doti,na wengine wanaunganisha pia.au unataka uunganishe mwenyewe.Mkuu mbona upo nje ya mada?
Wa mavazi?Kuwa mbunifu basi!
Ukiuza akili ,ubunifu utatoka tumboni?Kuwa mbunifu basi!
Kuwa mbunifu basi!
Kamanda ukweli unaumaUkiuza akili ,ubunifu utatoka tumboni?
Unamuuliza nani?Gazeti letu la UHURU mbona mmelifungia?
Sio tu kada,ila bambikajiKada la CCM kwenye ubora wake!
Mkuu subiri kesi iishe.Huo ni upande mmoja na itakuaje akikutwa hana hatia? Molel ataonekana muongo maana Polisi ndio walioua Ndugu zetu
Wewe hapo,si upo lumumba?tupe taarifa kamili tuliopo nanjilinjiUnamuuliza nani?