ostrichegg
JF-Expert Member
- Jun 30, 2013
- 12,050
- 6,199
Ramli hazitaweza kuwasaidia, basi enenda ukamsaidie Mollel kuokoteza vielelezo umsindikize na kumsimamia kisawasawa kuhakikisha vinapelekwa polisi. Usisahau kutupa mrejesho.Ni binadamu wachache sana wanaoweza kuunga dots na kupata what is what.
Dk Mollel ambae alishawahi kuwa mmoja wa viongozi waandamizi wa Chadema alishawahi kudai kuwa Chadema inahusika na ugaidi. Na ndio ilipanga njama za mabomu ya Arusha ambayo yalijeruhi watu na kuua watu...