Mbowe akikutwa na hatia kauli ya Dkt. Mollel juu ya mabomu ya Arusha itaunga dots

Good
 
Kwanini tumepeleka Majeshi Msumbiji si tungepeleka Hai kwenda kumsaka Gaidi Mkuu.
 
CCM bwana hamuchoki? Bila kumwombea mabaya cku haijaisha.
 
Kuna yule askari alimuambia Mbowe kuwa October hatoshinda.

Kama Mbowe angekua gaidi angemfutilia mbali yule askari wa chama tawala..
Your browser is not able to display this video.

Kwa video hii hapo usiku wa kuamkia zoezi la kura za uchafuzi mkuu alionekana Ole Sabaya na mitutu sasa CCM mtueleze Sabaya ni jambazi au askari? Na alikwenda kufuata nini hapo hotelini kwa Mbowe!

Mbowe angekuwa gaidi Sabaya na genge lake wangekuwa wamekwishafutiliwa mbali hata kabla ya kuwasili hotelini
 
Mabomu ya Arusha tunajua nani alikua nyuma ya hilo.

RC Magesa Mlongo ndo alikua nyuma ya hayo mabomu...anyway hii ni kesi ya kubumba tu .
 
kama alikuwa kiongozi mwandamizi CHADEMA na yeye ni gaidi akamatwe ashtakiwe .
 
Mbona Samia amekwisha mhukumu tayari?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…