Mbowe akikutwa na hatia kauli ya Dkt. Mollel juu ya mabomu ya Arusha itaunga dots

Ramli hazitaweza kuwasaidia, basi enenda ukamsaidie Mollel kuokoteza vielelezo umsindikize na kumsimamia kisawasawa kuhakikisha vinapelekwa polisi. Usisahau kutupa mrejesho.
 
Unaweza kuongoza bila kuwatesa wenzio. Mbona Biden anaongoza Trump akiendelea na maisha yake? Una polisi, NEC, TISS, uko Ikulu... Raha yako ni mpaka mtu asiyekuwa na kosa afungwe? Ndio maana wanakufa vifo vya ghafla. Laana mnajipa wenyewe.
Are you serious kamanda bwege?
 
Naamini kweli kuwa huyu Mbowe ndiye alikutoa usichana wako ndiyo maana huachi kumtajataja. Bomu la Arusha kila mwenye akili anajua ilikuwa kazi ya Lameck Madelu.
 
Naamini kweli kuwa huyu Mbowe ndiye alikutoa usichana wako ndiyo maana huachi kumtajataja. Bomu la Arusha kila mwenye akili anajua ilikuwa kazi ya Lameck Madelu.
We shoga nitakupiga mashine hadharani pumbavu,acha kunifuatilia.
 
Baada ya KUZALIWA kwa kundi la UKAWA na ubishani wa ni nani awe mgombea wao kuna vitu vilibadalika hapa. Kuna baadhi ya watu na taasisi fulanifulani zenye mirengo maalumu ya utawala wa kidini tulianza kuwaona kwenye majukwaa ya siasa wakiwa na matamshi makali na tata.

Ndipo ukawa mwanzo wa baadhi ya wagombea na vyama vyao kuwatetea watu wenye kesi mbalimbali za ugaidi
 
Na vipi mbowe skikutwa hana hatia waziri atachukuliwa hatua gani kwa kusema uongo?
 
Ugaidi wa Rwakatale na ushahidi mpaka mbinguni- Mwigulu et-al. Serekali ya ccm huww haiko serious kwenye vitu vya msingi.
 
Covid 19 Hoyeeeeeeeee
 
Nadhani yapaswa kufahamu nini maana ya ugaidi. (terrorism)

Ugaidi nionavyo mie kufanya jambo lakiharamia kushinikiza serikali jambo .
Mfano mnateka hotel na kudai tutawathiri wote ndani au mtupe katiba mpya.

Mashekhe walokamatwa walifanya lipi la kushindikiza serikali suala la Zanzibar kamili ? Hakuna
Na ushahidi ulikamilika baada miaka 8.

Ushahidi wa kesi hii ni mara moja ushakamilika. Mashekhe miaka 8

Mbowe alitaka kulipua vituo vyamafuta kudai nini? kama nifujo basi huyo ni haramia sio Gaidi.
Mbowe na wenzake wanakambi wapi ? au wana wasaidizi wapi?

Kama kuua viongozi huyo ni mhaini.
Kesi ya uhaini zanzibar ya kuuliwa karume Raisi wa nchi. Mwishowake wote waliachiwa.

Tusubiri mahakama.

kwani mmesahau CUF iliambiwa chama cha kigaidi na viongozi wake ni magaidi?
 
Endeleeni kuchochea kuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…