Tajiri Tanzanite
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 2,536
- 4,621
Hapo vip!!
Nimekuwa nikifuatilua hii kesi ya mbowe,mwenendo ya kesi yenyewe na namna ushahidi unavyotolewa mahakamani na jamhuri.
Jamhuri inaonyesha wamejipanga muda mrefu sana kwasababu za kiupelelezi nakadhalika.
Na kwanamna wanavyotoa ushahidi wao hakika umenyooka sana kuliko hata ule ushahidi wa Sabaya wa kuunga unga na gundi.
Siamini kama jamhuri inaweza kupoteza pesa nyingi kutengeneza kesi kubwa namna hii..
Kumbuka mashahidi wanaotoa ushahidi katika kesi hii ukiconnect doti kama unapata jibu chanya.
Jamhuri wametumia kodi ya wananchi katika upelelezi wa kesi hii na mchakato mzima unaohusu hii kesi.
Sasa kama mbowe atakuja kushinda kesi,ni heri jamhuri hata kama mtu amefanya uhaini wowote watumie njia nyingine kumkabili kuliko kumpeleka mahakamani.
Na sasa hivi wanachofanya mawakili wa mbowe ni kuweka mapingamizi mengi ili yakitupwa na mahakama waweze kutengezea picture ya kuwaminisha wananchi yakwamba uwanja wanaochezea haupo fair; jambo ambalo ni utoto kabisa.
Hoja ya kwamba jamhuri inabebwa, wapinzani wamefanya kichaka cha kujifichia
Tunaomba judge asisikilize pressure kutoka kwa wanasiasa au wanaharakati fulani fulani na vyomba vya habari wenye mrengo ule wa kisiasa...kwasababu atainajinsi mahakama..hata Dunia ipige kelele mhalifu ni muhalifu tu.