Mbowe akishinda hii kesi jamhuri msiwe mnapeleka kesi mahakamani kabisa

Tajiri Tanzanite

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2016
Posts
2,536
Reaction score
4,621
Hapo vip!!

Nimekuwa nikifuatilua hii kesi ya mbowe,mwenendo ya kesi yenyewe na namna ushahidi unavyotolewa mahakamani na jamhuri.

Jamhuri inaonyesha wamejipanga muda mrefu sana kwasababu za kiupelelezi nakadhalika.

Na kwanamna wanavyotoa ushahidi wao hakika umenyooka sana kuliko hata ule ushahidi wa Sabaya wa kuunga unga na gundi.

Siamini kama jamhuri inaweza kupoteza pesa nyingi kutengeneza kesi kubwa namna hii..

Kumbuka mashahidi wanaotoa ushahidi katika kesi hii ukiconnect doti kama unapata jibu chanya.

Jamhuri wametumia kodi ya wananchi katika upelelezi wa kesi hii na mchakato mzima unaohusu hii kesi.

Sasa kama mbowe atakuja kushinda kesi,ni heri jamhuri hata kama mtu amefanya uhaini wowote watumie njia nyingine kumkabili kuliko kumpeleka mahakamani.

Na sasa hivi wanachofanya mawakili wa mbowe ni kuweka mapingamizi mengi ili yakitupwa na mahakama waweze kutengezea picture ya kuwaminisha wananchi yakwamba uwanja wanaochezea haupo fair; jambo ambalo ni utoto kabisa.

Hoja ya kwamba jamhuri inabebwa, wapinzani wamefanya kichaka cha kujifichia

Tunaomba judge asisikilize pressure kutoka kwa wanasiasa au wanaharakati fulani fulani na vyomba vya habari wenye mrengo ule wa kisiasa...kwasababu atainajinsi mahakama..hata Dunia ipige kelele mhalifu ni muhalifu tu.
 
Crap
 
Mahakama inafuata Sheria inasemaje na siyo pressure we pimbi
 
Ouvu ni uovu tu hata uupake mafuta
 
Kwa hiyo unataka jamhuri ishinde KISA GHARAMA?AU wana haki ya kushinda? Kwangu mimi haki itendeke tu.. haya mambo ya gharama ndo zisababishe mtu kufungwa ni ukiukwaji wa haki
 
Hapo vip!!

Nimekuwa nikifuatilua hii kesi ya mbowe,mwenendo ya kesi yenyewe na namna ushahidi unavyotolewa mahakamani na jamhuri.

Jamhuri inaonyesha wamejipanga muda mrefu sana kwasababu za kiupelelezi nakadhalika.

Na kwanamna wanavyotoa ushahidi wao hakika umenyooka sana kuliko hata ule ushahidi wa Sabaya wa kuunga unga na gundi.

Siamini kama jamhuri inaweza kupoteza pesa nyingi kutengeneza kesi kubwa namna hii..

Kumbuka mashahidi wanaotoa ushahidi katika kesi hii ukiconnect doti kama unapata jibu chanya.

Jamhuri wametumia kodi ya wananchi katika upelelezi wa kesi hii na mchakato mzima unaohusu hii kesi.

Sasa kama mbowe atakuja kushinda kesi,ni heri jamhuri hata kama mtu amefanya uhaini wowote watumie njia nyingine kumkabili kuliko kumpeleka mahakamani.

Na sasa hivi wanachofanya mawakili wa mbowe ni kuweka mapingamizi mengi ili yakitupwa na mahakama waweze kutengezea picture ya kuwaminisha wananchi yakwamba uwanja wanaochezea haupo fair; jambo ambalo ni utoto kabisa.

Hoja ya kwamba jamhuri inabebwa, wapinzani wamefanya kichaka cha kujifichia

Tunaomba judge asisikilize pressure kutoka kwa wanasiasa au wanaharakati fulani fulani na vyomba vya habari wenye mrengo ule wa kisiasa...kwasababu atainajinsi mahakama..hata Dunia ipige kelele mhalifu ni muhalifu tu.

Mgonjwa, hujui lolote! Mpaka sasa ushahidi unaotolewa ni wa ukamataji, kuandikisha maelezo, kukagua silaha. Kama unaona hayo ni ushahidi wa kosa - basi huna uwezo kiakili. Wengi tunataka ushahidi wa minutes za vikao, text messages, voice messages na SIO kukiri kwa washitakiwa (mazingira ya kukiri huathiri kesi).

Haiwezekani watu wanne wahamasishe maandamano, waue Sabaya, walipue vituo vya mafuta na sehemu za mikusanyiko ya watu, wakate miti na kuiweka barabarani - yote hayo kwa 600,000 huku jamhuri haiwezi kusema inashitaki watu wengine zaidi na wasijue kama lini matendo hayo yalikuwa yatokee.

Si polisi hao watano tu walikuwa na jukuma la kulinda nchi hii! Ni kila mamlaka ya serikali, je mamlaka hizo zilifahamishwa jambo hili hata kwa kuchelewa??

Haki uliinua taifa!!
 
Hapo vip!!

Nimekuwa nikifuatilua hii kesi ya mbowe,mwenendo ya kesi yenyewe na namna ushahidi unavyotolewa mahakamani na jamhuri.

Jamhuri inaonyesha wamejipanga muda mrefu sana kwasababu za kiupelelezi nakadhalika.

Na kwanamna wanavyotoa ushahidi wao hakika umenyooka sana kuliko hata ule ushahidi wa Sabaya wa kuunga unga na gundi.

Siamini kama jamhuri inaweza kupoteza pesa nyingi kutengeneza kesi kubwa namna hii..

Kumbuka mashahidi wanaotoa ushahidi katika kesi hii ukiconnect doti kama unapata jibu chanya.

Jamhuri wametumia kodi ya wananchi katika upelelezi wa kesi hii na mchakato mzima unaohusu hii kesi.

Sasa kama mbowe atakuja kushinda kesi,ni heri jamhuri hata kama mtu amefanya uhaini wowote watumie njia nyingine kumkabili kuliko kumpeleka mahakamani.

Na sasa hivi wanachofanya mawakili wa mbowe ni kuweka mapingamizi mengi ili yakitupwa na mahakama waweze kutengezea picture ya kuwaminisha wananchi yakwamba uwanja wanaochezea haupo fair; jambo ambalo ni utoto kabisa.

Hoja ya kwamba jamhuri inabebwa, wapinzani wamefanya kichaka cha kujifichia

Tunaomba judge asisikilize pressure kutoka kwa wanasiasa au wanaharakati fulani fulani na vyomba vya habari wenye mrengo ule wa kisiasa...kwasababu atainajinsi mahakama..hata Dunia ipige kelele mhalifu ni muhalifu tu.
Sasa unalia nini ? Diary , kalamu na simu vimenaswa live , bado huamini tu ?
 
Whatever it can be ...ccm haitatawala milele..kama ilianguka Soviet, Rumi,ashuru,ajemi na zingine ... ccm wamempa nini Mungu wasianguke
Wana iba kura na kuingia na mabegi ya kula zikiwa tayari zimeshapigwa ndio maana wanashinda bila hivyo hawatoboi hawa Wahuni
 
Mgonjwa, hujui lolote! Mpaka sasa ushahidi u aotolewa ni wa ukamataji, kuandikisha maelezo, kukagua silaha. Kwma unaona hayo ni ushahidi wa kosa - basi huna uwezo kiakili. Wengi tunataka ushahidi wa minutes za vikao, text messages, voice messages na SIO kukiri kwa washitakiwa (mazingira ya kukiri huathiri kesi).

Haiwezekani watu wanne wahamasishe maandamano, waue Sabaya, walipue vituo vya mafuta na sehemu za mikusanyiko ya watu, wakati miti na kuiweka barabarani - yote hayo kwa 600,000 huku jamhuri haiwezi kusema inashitaki watu wengine zaidi na wasijue kama lini matendo hayo yalikuwa yatokee.

Si polisi hao watano tu walikuwa na jukuma la kulinda nchi hii! Ni kila mamlaka ya serikali, je mamlaka hizo zilifahamishwa jambo hili hata kwa kuchelewa??

Haki uliinua taifa!!
Napendaga saana ninapoona ubongo unafanya kazi kwa wepesi kaka,thinking and reasoning itafanya tuijenge nchi njema walau kuanza na familia moja kwa nyingine
 
Haya sawa, Buku yako iko tayari nitume kwenye namba ipi.
 
Back
Top Bottom