Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Hawa wanamheshimu sana Mbowe hata kama yuko Chadema. Na mwenyewe anawaheshimu sana maana walimpigania sana wakati akiwa jela na wakati wa uchaguzi. Wanaipenda bado Chadema ndio maana huwasikii wakiwatukana viongozi wake pamoja na figisu kibao walizofanyiwa na wanazoendelea kufanyiwa. Ni wapinzani damu damu.Mwenyekiti wazamani wa CHADEMA Freeman Mbowe akiwa na vijana na makada wa zamani wa CHADEMA ambapo walihamia kwenye chama Cha CHAUMMA .
Vijana wanajichekesha tu wenyewee
Failed miserably.Chauma....project failed!.
Amekaa kidalali dalali tu!! Afterall he is purported to be a businessman!Lakini mbowe amekaa kigaidigaidi tu 😅.
Chama ni watu sio Mtu, G55 and Chauma bussness chaliiiiMwenyekiti wazamani wa CHADEMA Freeman Mbowe akiwa na vijana na makada wa zamani wa CHADEMA ambapo walihamia kwenye chama Cha CHAUMMA .
Vijana wanajichekesha tu wenyewee
Kama alivyowapika wakina Heche na Mnyika.Mbowe alikuwa mkandarasi wa CCM wa kupika vijana wanaoandaliwa kuitumikia CCM wakiwa ndani na nje ya chama. Naona project imetolewa CHADEMA inaandaliwa kuendelezwa CHAUMMA.
Tusubiri tuone.
Wakaasi mikoba yakeKama alivyowapika wakina Heche na Mnyika.
Amandla...
Kabisa yani..Amekaa kidalali dalali tu!! Afterall he is purported to be a businessman!
Basi Bongo ina safari ndefu sanaMbowe alikuwa mkandarasi wa CCM wa kupika vijana wanaoandaliwa kuitumikia CCM wakiwa ndani na nje ya chama. Naona project imetolewa CHADEMA inaandaliwa kuendelezwa CHAUMMA.
Tusubiri tuone.
Aliwapikaje? Kama chakula au?Kama alivyowapika wakina Heche na Mnyika.
Amandla...
A failed project...Mwenyekiti wazamani wa CHADEMA Freeman Mbowe akiwa na vijana na makada wa zamani wa CHADEMA ambapo walihamia kwenye chama Cha CHAUMMA .
Vijana wanajichekesha tu wenyewee