Tindo
Platinum Member
- Sep 28, 2011
- 72,020
- 129,293
Hao waliofail hawakuwa ndani ya cdm. Yaani mifano yako imeshindwa kuonyesha cdm watakwama wapi.WanaCHADEMA haitawasaidia kitu kumtukana Mbowe. Siasa za nchi hii hazitabiriki. Mwaka 2001 kina Lipumba na CUF yake walikuwa wa moto mno wakipambana na IGP katili Mahita kiasi kwamba Lipumba alikuwa anakutana na vipigo vitakatifu ila Lipumba huyohuyo akautangazia umma kuwa aliwasihi waislamu wenzake wamchague JK mwaka 2010 huku yeye pia mgombea urais.
Miaka 5 baadae yaani 2015 katibu mkuu bora wa muda wote CHADEMA Padri aliyeasi, Dr Slaa aliamua kujiweka kando na CHADEMA ambapo baadae alipata ulaji kwenye serikali ya JPM.
Nimetoa mifano miwili kuonyesha kuwa unaweza kumtukana Mbowe kumbe msaliti wenu anaweza kuwa Heche au Lissu. Cha muhimu mheshimiane.