Wangeipenda Chadema wasingehama.Hawa wanamheshimu sana Mbowe hata kama yuko Chadema. Na mwenyewe anawaheshimu sana maana walimpigania sana wakati akiwa jela na wakati wa uchaguzi. Wanaipenda bado Chadema ndio maana huwasikii wakiwatukana viongozi wake pamoja na figisu kibao walizofanyiwa na wanazoendelea kufanyiwa. Ni wapinzani damu damu.
Amandla...
Ulitaka wavumilie kutengwa na wenzao na matusi waliyokuwa wakiporomeshewa? Kwa sababu tu walidiriki kutofautiana na msimamo wa Mwenyekiti wao? Sigrada alipigwa na msaidizi wa kiongozi wao na hamna mtu wa Chadema aliyediriki kumuomba msamaha. Wangebaki Chadema wangekuwa wenda wazimu.Wangeipenda Chadema wasingehama.
Wanampenda Mbowe kuliko Chadema.
Kinacho nishangaza vijana WA ccm ndo wamekuwa wsemaji WA mbowe na chauma. HIVI kile kitengo cha propaganda cha Chama chetu kilifia wapi.WanaCHADEMA haitawasaidia kitu kumtukana Mbowe. Siasa za nchi hii hazitabiriki. Mwaka 2001 kina Lipumba na CUF yake walikuwa wa moto mno wakipambana na IGP katili Mahita kiasi kwamba Lipumba alikuwa anakutana na vipigo vitakatifu ila Lipumba huyohuyo akautangazia umma kuwa aliwasihi waislamu wenzake wamchague JK mwaka 2010 huku yeye pia mgombea urais.
Miaka 5 baadae yaani 2015 katibu mkuu bora wa muda wote CHADEMA Padri aliyeasi, Dr Slaa aliamua kujiweka kando na CHADEMA ambapo baadae alipata ulaji kwenye serikali ya JPM.
Nimetoa mifano miwili kuonyesha kuwa unaweza kumtukana Mbowe kumbe msaliti wenu anaweza kuwa Heche au Lissu. Cha muhimu mheshimiane.
Hawa ndio wamepotea kabisa kwenye siasa, sijui nani aliwarubuni kuwa wakienda chaumma watapewa ubunge!! Yaani hawana tofauti na waliosusia uchaguzi zaidi wameingia hasara ya fedha za kampeni na heshima imekufa.Mwenyekiti wazamani wa CHADEMA Freeman Mbowe akiwa na vijana na makada wa zamani wa CHADEMA ambapo walihamia kwenye chama Cha CHAUMMA .
Vijana wanajichekesha tu wenyewee
Hii ilikuwa lini na wapi?Mwenyekiti wazamani wa CHADEMA Freeman Mbowe akiwa na vijana na makada wa zamani wa CHADEMA ambapo walihamia kwenye chama Cha CHAUMMA .
Vijana wanajichekesha tu wenyewee
Kwa nini uwe na haraka namna hiyo kuhitimisha mkuu 'zitto junior'?Hawa ndio wamepotea kabisa kwenye siasa, sijui nani aliwarubuni kuwa wakienda chaumma watapewa ubunge!! Yaani hawana tofauti na waliosusia uchaguzi zaidi wameingia hasara ya fedha za kampeni na heshima imekufa.
Kama bado unayo matumaini juu ya hawa kuwa kama unavyodai wewe; akili yako itakuwa inafanya kazi kinyumenyume sana.Nimetoa mifano miwili kuonyesha kuwa unaweza kumtukana Mbowe kumbe msaliti wenu anaweza kuwa Heche au Lissu. Cha muhimu mheshimiane.
Katika ujinga unaowatafuna wapinzani wengi kama wewe ni kuweka matumaini yao yote kwa wanasiasa.. miaka michache iliyopita ni nyie mlikuwa mnasema "MWAMBA TUVUSHE".. Leo hii mnamtukana.Kama bado unayo matumaini juu ya hawa kuwa kama unavyodai wewe; akili yako itakuwa inafanya kazi kinyumenyume sana.
Katika hao akina Lipumba na wengine wa namna hiyo; hakuna hata mmoja aliyepitia katika tanuru la moto mkali kama unaowapika hawa akina Heche.
Sasa kama hata hilo halikupi akili ya kuona tofauti; wewe unazo sababu zako nyingine za kujifanya tiu, kuwa hujui, au unatumia sifa yetu jadi "uswahili" mwingi.
Hakuna anayetukanwa. Muda unatupa mafundisho na unaendelea kutuambia mbivu na mbichi ni zipi. Tofauti tunaziona.Katika ujinga unaowatafuna wapinzani wengi kama wewe ni kuweka matumaini yao yote kwa wanasiasa.. miaka michache iliyopita ni nyie mlikuwa mnasema "MWAMBA TUVUSHE".. Leo hii mnamtukana.
KUna mzee mwenzangu analewa sana pombe za nafaka na kuvuta tumbaku ya kienyeji,,,anasema ...Labda Chacha Wangwe ni mkono wa MbowenskyLakini mbowe amekaa kigaidigaidi tu 😅.
CHAUMMA kwa vile alimuogopa Baba Mkwe wake Mzee Mtei sasa kwa vile mzee ameshatangulia mbele ya haki basi soon atawajoin ili kuimaliza kabisa Chadema na CHAUMMA itakuwa chama kikuu kama walivyopanga tangu awali.Kama wanasubiri pombe na nyama za bure , wanavyojichekesha.
Mbowe amekaa kitapeli tapeli tuLakini mbowe amekaa kigaidigaidi tu 😅.
Mzee wa gloves kwenye ubora wake.Mwenyekiti wazamani wa CHADEMA Freeman Mbowe akiwa na vijana na makada wa zamani wa CHADEMA ambapo walihamia kwenye chama Cha CHAUMMA .
Vijana wanajichekesha tu wenyewee
Ulitaka wavumilie kutengwa na wenzao na matusi waliyokuwa wakiporomeshewa? Kwa sababu tu walidiriki kutofautiana na msimamo wa Mwenyekiti wao? Sigrada alipigwa na msaidizi wa kiongozi wao na hamna mtu wa Chadema aliyediriki kumuomba msamaha. Wangebaki Chadema wangekuwa wenda wazimu.
Amandla...