Mbowe alikuwa na haraka ya nini kulipa 250m badala 50m aliyopangiwa wakati tupo ndani ya muda. Ni rushwa arudishiwe.

Mbowe alikuwa na haraka ya nini kulipa 250m badala 50m aliyopangiwa wakati tupo ndani ya muda. Ni rushwa arudishiwe.

DT125

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2011
Posts
437
Reaction score
637
Muda wa kulipa mchango wa ghalama za uchaguzi (dead line) bado. Kwa nini Mbowe akimbilie kulipa zaidi ya kiwango alichopangiwa?. Hiyo ni rushwa. Nashauri arudishiwe na kama kutakuwa na ulazima tutaambiwa tuongeze kama kuna baadhi ya wachangiaji hawatatoa. Hata kauli ya Wenje kumtanhgaza Lissu amekaidi kutoka. Pesa
 
Back
Top Bottom