Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Gaidi ni CCM wanaokuchangisheni Tozo!Huyo Lema alishuhudia hayo maongezi au na yeye alisimuliwa na gaidi?
Sijachangishwa.Gaidi ni CCM wanaokuchangisheni Tozo!
Ndio ujinga wako huo, mko so selfish! Eti sijachangishwa, the day ukichangishwa ndo akili itakaa mahali pakeSijachangishwa.
Hio sio topicLema anajaribu kujaza matambala ili viatu vya dr Slaa vimtoshe lkn wapi bado vinampwaya tu dah...
Muulize jezebeliHuyo Lema alishuhudia hayo maongezi au na yeye alisimuliwa na ligaidi?
Simuulizi.Muulize jezebeli
Ujinga gani?Ndio ujinga wako huo, mko so selfish! Eti sijachangishwa, the day ukichangishwa ndo akili itakaa mahali pake
Rudi kwenye mada wewe, huwezi kunitoa kwenye madaUjinga gani?
Sirudi.Rudi kwenye mada wewe, huwezi kunitoa kwenye mada
ShogerHuyo Lema alishuhudia hayo maongezi au na yeye alisimuliwa na ligaidi?
Haisadii.Shoger
Acheni ujinga wewe, unavunja Sheria za JF na unaweza kupata BanWanaouliza kwa nini Mbowe amekamatwa sasa na si vinginevyo wanasahau kuwa Mbowe, Lema, Meya wa zamani Ubungo Boniface walikamatwa mara baada ya matokeo ya uchaguzi mkuu kutangazwa na kabla Rais hajaapishwa kwa kuchochea maandamano yasiyo na kikomo kupinga matokeo. Mambosasa alihojiwa na vituo vya ITV na TBC na kutoa madai hayo hayo ya ugaidi.
Kwenye Space ya Maria inayoendelea, Mheshimiwa Lema anasema kuwa Mheshimiwa Mbowe alimpigia simu SSH na kumpa pole kifuatia kifo cha JPM. Wakati huo Mheshimiwa Mbowe alikua Dubai na kwamba SSH alimuahidi Mheshimiwa Mbowe kuwa Mara baada ya msiba kuisha, wangekutana na kuijenga Tanzania mpya, huku Mama Samia akiahidi na kumhakikishia Mheshimiwa Mbowe "kufutana machozi" wote. Akimaanisha kuwa hata yeye alikua "ameguswa" na utawala uliopita.
Mheshimiwa Lema amesisitiza kuwa kama ni Uongo, basi Mama SSH ashike msaafu aape kama ni uongo!
Kwahio SSH aliongea na Gaidi? Akaahidi kufutana machozi na Gaidi??