Mbowe alimpigia simu Rais Samia kumpa pole akiwa Dubai

Ktk wapinzani wote hakuna mpumbavu kama lema .. huyo lema alikuwepo kipindi wanaongea ?mnafki mkubwa sana huyo
 
Upumbavu waake ni UPI? Unafiki wake ni UPI? Hebu punguza jazba basi! Au wewe ulikuepo??
 
Tafuteni hela mutafute mawakili wazuri wa kumtetea Mwenyekiti wenu- ATAFUNGWA OHHH nyie shindeni kwenye mitandao na majibizano yasiyo na maana
Akifungwa wewe kinakuuma nini?.nchi imewashindeni mnakaa kuangaika kujifanya mnawashauri cdm.Kwa ujinga mlionao usitegemee fikra za mapinduzi ya fikra zinakoma mbowe akiwa mfungwa.
 
Huyo Lema alishuhudia hayo maongezi au na yeye kasimuliwa na ligaidi?
Magaidi ni ccm ambao miaka 60 ya utawala wao bado hapa kijijini hakuna maji,wala zahanati wala barabara haipitiki...wala umeme hakuna....KTK HALI KAMA HIYO GAIDI NI NANI?gaidi kwa kuwa tu labda maisha yao /vyeo vyao viko/yako hatarini?.kisa KATIBA?..ila sisi huku HAWAJALI SHIDA ZETU...PUMBAVUUU
 
Hata usemeje jamaa yako yuko kolokoloni kwa tuhuma za ugaidi.
 
Kwenye Space ya Maria inayoendelea, Mheshimiwa Lema anasema kuwa Mheshimiwa Mbowe alimpigia simu Rais Samia na kumpa pole kifuatia kifo cha Dkt Magufuli.

Wakati huo Mheshimiwa Mbowe alikuwa Dubai na kwamba Rais alimuahidi Mheshimiwa Mbowe kuwa Mara baada ya msiba kuisha, wangekutana na kuijenga Tanzania mpya, huku Mama Samia akiahidi na kumhakikishia Mheshimiwa Mbowe "kufutana machozi" wote.

Akimaanisha kuwa hata yeye alikuwa "ameguswa" na utawala uliopita.

Mheshimiwa Lema amesisitiza kuwa kama ni Uongo, basi Mama Samia ashike msaafu aape kama ni uongo.

Kwa hiyo Rais Samia aliongea na gaidi? Akaahidi kufutana machozi na gaidi?
Hapo unaleta uchochezi.kwamba mama alifurahia kifo cha rais JPM

lakini pia hii issue ilikuwa kwa upelelezi na sidhani kama kesi zote za upelelezi makamo wa rais lazima azijue. Kuna mambo ambayo hata mkeo huwezi mwambia. tusitafute kumchafua rais. tuache mahakama ifanye kazi
 
Hata usemeje jamaa yako yuko kolokoloni kwa tuhuma za ugaidi.
Hata usemeje ndugu zako kijijini wanakufa hakuna madawa,mama yako anateseka hana umeme wala hawezi kujifungua akiwa hospitalini ataendelea kujifungulia kwa waganga wa kienyeji..huku wadogo zako shulen hakuna walimu na wanakaa chini...huku wewe ukifurahia kukaa kwa shemeji...POLE SANA MKUU,MAANA AKILI HUNA
 
Sina ndugu aliyekufa kijijini kwa ukosefu wa madawa. Usitake kulazimisha.
 
Upumbavu waake ni UPI? Unafiki wake ni UPI? Hebu punguza jazba basi! Au wewe ulikuepo??
Sasa rais aache shughuli zake na kwenda kushika msahafu et kuthibitisha kuwa madai ya Lema ni uongo? wewe hauoni upumbavu hapo ina maana Mama samia asipofanya hivyo ndio tuamini kwamba madai ya Lema ni ukweli tu? huu ni upumbavu na ni utoto kwa sababu jambo lenyewe halina maana yeyote.
 
Na upumbavu zaidi ni kuamini kuwa Mbowe ni Gaidi
 
Hapo unaleta uchochezi.kwamba mama alifurahia kifo cha rais JPM

lakini pia hii issue ilikuwa kwa upelelezi na sidhani kama kesi zote za upelelezi makamo wa rais lazima azijue. Kuna mambo ambayo hata mkeo huwezi mwambia. tusitafute kumchafua rais. tuache mahakama ifanye kazi
Kwahio Mama alikua Mke wa Jiwe?
 
Lema anajaribu kujaza matambala ili viatu vya dr Slaa vimtoshe lkn wapi bado vinampwaya tu dah... Kwa sasa hivi hata Mbowe anajutia alichokifanya 2015. Maana hela alizopewa zishamwishia na chama pia kinamfia aisee!!!
Mkuu, hu ni mchango wa uzi hu hu au uzi mwingine? Nahisi kama umetoka nje ya topic vile?
 
Back
Top Bottom