G4rpolitics
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 4,369
- 5,248
Sasa mtu Katia stor ilivyo anza wewe unampa matusi, Kwa nini usiheshimu mawazo yake tu, hata kma ni ya kijinga mkuu, kumbuka ni jukwaa huru hili, kila mtu ana Uhuru wa kutoa mawazo yake, au lazima aungane na unacho kiamini tu?Acheni ujinga wewe, unavunja Sheria za JF na unaweza kupata Ban
Sent from my 5033X_EEA using JamiiForums mobile app