Mbowe alimpigia simu Rais Samia kumpa pole akiwa Dubai

Mbowe alimpigia simu Rais Samia kumpa pole akiwa Dubai

Kwenye Space ya Maria inayoendelea, Mheshimiwa Lema anasema kuwa Mheshimiwa Mbowe alimpigia simu Rais Samia na kumpa pole kifuatia kifo cha Dkt Magufuli.

Wakati huo Mheshimiwa Mbowe alikuwa Dubai na kwamba Rais alimuahidi Mheshimiwa Mbowe kuwa Mara baada ya msiba kuisha, wangekutana na kuijenga Tanzania mpya, huku Mama Samia akiahidi na kumhakikishia Mheshimiwa Mbowe "kufutana machozi" wote.

Akimaanisha kuwa hata yeye alikuwa "ameguswa" na utawala uliopita.

Mheshimiwa Lema amesisitiza kuwa kama ni Uongo, basi Mama Samia ashike msaafu aape kama ni uongo.

Kwa hiyo Rais Samia aliongea na gaidi? Akaahidi kufutana machozi na gaidi?
"Siyo wewe uliyekuwa pamoja na gaidi?" "siyo mimi"......SSH.
 
Kwani MH.Rais ndiye anayepeleleza hiyo KESI?

KESI IPO mahakamani kwanini tusisubiri ushahidi utolewe ILI tuweze kuchambua chuya na mchele? Mfano mzuri KESI Sabaya IPO bayana pamoja na hukumu itakayotolewa na Mahakama lakini tutajua ukweli mzima.

Tunamzongazonga sana Mh.Rais tutamtoa barabarani hivi inawezekanaje Dereva anataka kuanza safari mnampigia miruzi mingi wakati njia aliyoamua kupita anaifahamu MNAMPA vitisho eti asimamishe gari afumue barabara iliyo ajenge mpya.
 
Na upumbavu zaidi ni kuamini kuwa Mbowe ni Gaidi
Kwa sababu sio muislamu nini maana siku hizi waislamu ndio magaidi😄😄 Ila mimi sipo upande wowote katika hili suala la Mbowe, awe kweli gaidi au sio gaidi yote yanawezekana siwezi kusema et Mbowe ni kweli gaidi au sio gaidi hivyo kwangu mimi naangali tu hili suala linavyokwenda.
 
At least umepata akili kidogo. Sio mbaya
 
At least umepata akili kidogo. Sio mbaya
Umeona eh? maana ningekuwa sina akili sasa nami ningekuwa napiga kelele Mbowe gaidi au Mbowe sio gaidi, ila nashukuru udogo wa viakili nilivyonavyo vimefanya nisitumie hisia au siasa katika ndio maana sipo upande wowote katika hizo pande mbili.
 
Ungeekua huna akili kama ungeamini kuwa Mbowe ni Gaidi maana sifa za Gaidi ziko wazi, sasa kama huzijui utakua ndio uko upande huo! Hapo Vipi Mpwa
 
Back
Top Bottom