Corticopontine
JF-Expert Member
- Sep 20, 2019
- 666
- 1,277
Mbowe alitarajia kuonana na Samia June 12 na siku hiyo hiyo Taasisi ya Urais na Rais mwenyewe walijua watakuwa Omani na siku hiyo hiyo Mbowe kaahidiwa aende Ikulu.
Mbowe, Rais Samia anajua wewe ni muigizaji kwa hiyo na yeye atakuigizia tu hvy hvy kuja maridhiano yaishe ni July 2025.
Kwa taarifa yako maamuzi ya Halima Mdee na wenzake kuwepo Bungeni ni maamuzi yaliyotokana na katiba ya nchi kwa sababu ya uongo wenu mama anajua anajadiliana na waigizaji na yeye atawaigizia mpaka mchoke.