Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Hujui kitu mwehu wewe sema tukusaidie.
Bila MCC hata REA ungeishia kuisoma,MCC ilitoa pesa chini ya Programu ya Power Africa,bila MCC Kigoma ingekuwa na Giza saizi na bila MCC ,Rukwa,Katavi na Ruvuma na Tanga kungekuwa mavumbi tupu.👇
Mkuu kweli level zako hukamatiki, hasa ukizingatia source ya habari yako ni Habari leo!