Corticopontine
JF-Expert Member
- Sep 20, 2019
- 666
- 1,277
Kapoteza kwa kipi mkuu ? Hiyo meeting ikipelekwe mbele itamuathiri vipi ,Tuna umiza vichwa humu JF kwa vitu ambavyo Mama na Mbowe wote wanajua Mwisho wake .Kwenye hili aliyepoteza ni Samia
Kwenye hili aliyepoteza ni Samia
Unamshauri nini Mbowe afanyeNchi hii hakuna mpinzani mwenye maarifa na ujanja wa kuzitambua na kuzishinda mbinu za CCM. Katika maisha yake yote, Maalim Seif (RIP) aliambulia kulamba tu kile kiasi cha asali alichokuwa anagawiwa na CCM. Mpaka umauti unamkuta ndoto yake ya kuwa Rais wa Zanzibar ilibaki kama ndoto ya mchana!
Ayatollah Mbowe atakuja kukumbuka blanket wakati kumeshakucha!
Unamshauri nini Mbowe afanye
Umetowa wapi ratiba au ni kujitengenezea visa tu na drama ambazo hazipo. Mama na Mbowe hawana matatizo wachawi mtapata shidaMbowe alitarajia kuonana na Samia June 12 na sk hyohyo Taasisi ya Urais na Rais mwenyewe walijua watakua Omani na siku hiyohiyo Mbowe kaahidiwa aende Ikulu...
Mbowe alete mahari tuu kwa wazazi wako, mana sio kwa kuwashwa hukooooooo.Kwenye hili aliyepoteza ni Samia
Sukuma Gang na roho zenu za kishetani mtateseka sana,naona mnafanya juhudi kubwa kuhujumu maridhiano yanayoedelea, mtakufa kwa kihoro mwaka huuMbowe alitarajia kuonana na Samia June 12 na sk hyohyo Taasisi ya Urais na Rais mwenyewe walijua watakua Omani na siku hiyohiyo Mbowe kaahidiwa aende Ikulu...
Wewe unawashwa nini na mambo ya Chadema? Huko CCM huna bwana wa kushusha hilo joto lako?Ila chadema bhana, yani mmeshawafukuza watu ila bado mnaendelea kuwafuatilia, c mtulie mana hawapo mikononi mwenu tena.
Twende tu taratibu, mambo yatazidi kujipambanua yenyewe, na watu watajua!Kwenye hili aliyepoteza ni Samia
Kwenye hili aliyepoteza ni Samia
Acha kuwa mjinga wewe! Hivi mke ukimuacha halafu anazunguka akitumia jina lako kufanya shughuli zake hadi kukopa utakubali?Ila chadema bhana, yani mmeshawafukuza watu ila bado mnaendelea kuwafuatilia, c mtulie mana hawapo mikononi mwenu tena.
Wivu utawaua sio kila kitu kikipangwa lazima kifanyike unajuaje kama Mbowe hajaombwa udhuru? Punguzeni WIVU wa Mbowe kuonana na RAISMbowe alitarajia kuonana na Samia June 12 na siku hiyo hiyo Taasisi ya Urais na Rais mwenyewe walijua watakuwa Omani na siku hiyo hiyo Mbowe kaahidiwa aende Ikulu..
Wivu utawaua sio kila kitu kikipangwa lazima kifanyike unajuaje kama Mbowe hajaombwa udhuru? Punguzeni WIVU wa Mbowe kuonana na RAIS
Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
Who is Mbowe? Rais aache Kazi asubirie kuonana na Mbowe?Mbowe alitarajia kuonana na Samia June 12 na siku hiyo hiyo Taasisi ya Urais na Rais mwenyewe walijua watakuwa Omani na siku hiyo hiyo Mbowe kaahidiwa aende Ikulu
Mbowe, Rais Samia anajua wewe ni muigizaji kwa hiyo na yeye atakuigizia tu hvy hvy kuja maridhiano yaishe ni July 2025 .
Kwa taarifa yako maamuzi ya Halima Mdee na wenzake kuwepo Bungeni ni maamuzi yaliyotokana na katiba ya nchi kwa sababu ya uongo wenu mama anajua anajadiliana na waigizaji na yeye atawaigizia mpaka mchoke
Uko sahihi, lakini Tanzania haina umakini huo unaotaka tuamini upo. Na ushahidi kuwa hakuna umakini huo upo bayana.Safari ya kimataifa ya Rais haiwezi kuwa dharura. Ayatollah Mbowe alipewa fake appointment by design!