Mbowe alipanga kuonana na Rais Samia 12 Juni, naona kamtelekeza Mbowe kiaina

Hujui kitu mwehu wewe sema tukusaidie.

Bila MCC hata REA ungeishia kuisoma,MCC ilitoa pesa chini ya Programu ya Power Africa,bila MCC Kigoma ingekuwa na Giza saizi na bila MCC ,Rukwa,Katavi na Ruvuma na Tanga kungekuwa mavumbi tupu.πŸ‘‡

Mkuu kweli level zako hukamatiki, hasa ukizingatia source ya habari yako ni Habari leo!
 
Malipo ya level yako kuwa juu zaidi ya hapo ilivyo sasa.
Hujui kitu mwehu wewe sema tukusaidie.

Bila MCC hata REA ungeishia kuisoma,MCC ilitoa pesa chini ya Programu ya Power Africa,bila MCC Kigoma ingekuwa na Giza saizi na bila MCC ,Rukwa,Katavi na Ruvuma na Tanga kungekuwa mavumbi tupu.πŸ‘‡
Mkuu kweli level zako hukamatiki, hasa ukizingatia source ya habari yako ni Habari leo!
Tupe source yako basi yenye tofauti na hizo..

Una matatizo tena sio madogo yaani hata hizo barabara wewe huzioni yaani πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜†
 
Nasema hivi, asante bro wa next level. Bado nacheka sana.
 
Iyo mimba ya mbowe/ CHADEMA itoe itakuuwa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…