kifupi kirefu
JF-Expert Member
- Oct 29, 2018
- 539
- 3,507
Mwamba Mbowe aliposema covid ipo serikali ilimwandama Hadi yeye na wenzake qakatolewa Bungeni na kukatwa posho kisa wameenda kinyume na mfalme aliyekuwepo. Naamini Wakati anapambana kuhusu taadhari ya covid Hawa waliochanjwa leo walikuwa wafuasi wake ila awakutaka kutoka adharani nakusema kwamba wanamuunga Mkomo.
Nafurahi kujua kwamba hata Spika alikuwa mfuasi wa Mbowe that time ila hakutaka kupoteza uspika, mawaziri akiwemo VP na PM walikuwa wafuasi wa Mbowe ila walijificha na kuumia kwamba wanapaswa wapingane naye ili waendelee kuwepo kwenye nafasi yao. Leo JPM kaondoka wote wametoka adharani na kuonyesha kwa vitendo kuunga mkono msimamo wa Mbowe na chadema kwa jumla. Hongera Sana kamanda kwa kuongoza nchi hata pasipokuwa Rais wa nchi. Ulisimamia haki na ukweli na Sasa wewe Ni shujaa
Amemaliza kuongoza mapambano ya kupambana na maradhi akaona tatizo la watu kuwa wanafiki ni katiba inayompa Rais nafasi kubwa yakuelekeza kila kitu na hakuna wakumpinga. Mwamba alivyoona hivyo akatambua nafasi yakuelimisha waliopo madarakani na wasio madarakani kwamba Uhuru wetu na nguvu yakusimamia uhai wetu Ni Katiba mpya.
Wale wale wafuasi wake ambao wanakubaliana naye Kama kawaida yao wametoka nakusema hakuna hitajio la Katiba mpya. Lakini naamini Kama walivyovumilia Wakati wanaambiwa hakuna covid huku wakijua ipo ndivyo wanavyovumilia Sasa wakiambiwa na Mwenye nchi kwamba hakuna katiba mpya, ipo siku watasimama adharani nakusema tunataka katiba mpya. Wakati huo Mbowe anaweza akawepo au asiwepo ila watu Hawa ambao kwao wao Watanzania siyo kipaombele Bali familia zao ndio kipaombele ipo siku watasimama adharani na kukiri taifa bila katiba mpya halitawwliki kwa haki
Mimi nimechagua kuwa mfuasi wa Mbowe mchana na usiku Hadi pale ntakapogundua mdimamo wake dhidi ya Taifa hauna maslahi ya Taifa. For now mwamba endelea kuvumilia, wewe upo behind the bar ukilala sakafuni lakini huku uraiani Mungu anawavuna wanaolala kitandani kwenye gorodo la inchi ishirini.
Usiofu yawezekana kuwepo kwako huko umeepushwa na ajali na attack nyingine, Mungu ndiye anajua upo gerezani kwa sababu gani, usione upo kwenye mateso Bali jione upo kwenye amani maana wafuasi wako Ni pamoja na hao Askari Magereza wanaokulinda....wanaamini kupitia katiba mpya hata maslahi na haki zao zitalindwa, wanaamini kupitia katiba mpya mahabusu wa kisiasa watapungua Magerezani na wao watapata muda wakupumzika na familia zao kuliko Sasa hivi ambapo wanakuwa kwenye tention na kusau hata familia Jambo linaweza kusababisha kuvunjika kwa ndoa zao au tamaa za Dunia zikafanya wapendwa wao wawasaliti. Tulia mtegemee Mungu tuvuke salama uwashuhudie watesi wako wakikuunga mkono kwenye katiba mpya Kama walivyokuunga mkono kwenye COVID-19.
Naamua kufuata nyendo zako njema kuanzia Leo tarehe 13/08/2021 unapofikishwa mahakamani for commital proceedings. Utashinda