Mbowe ameingiwa na hofu. Nini kimempa Hofu na kukata tamaa?

Sisi tulionya wakashupaza shingo, huku chini mashinani wanachama wengi hawamuelewi Mbowe.
Wanaona chama Chao kinaenda kaburini. Wanataka mabadiliko yafanyike haraka kuokoa chama.
Tatizo la pesa nyingi kutumika makao makuu kwa kulipana posho huku wao wakijitolea kila uchao kuendeleza
chama Linawakera wanachama.
Pili , inshu ya kukopesha chama bila utaratibu wa kueleweka wanaona ni kuendeleza upigaji huku wao wakitoa michango yao na hawadai kurejeshewa.
Huu ni wakati wa mabadiliko.
 
Kiukweli kama wapiga kura wa mkutano mkuu wa chadema watazingatia maoni ya wananchi walio wengi hawezi kumpa kura mbowe kuwa mwenyekiti wa chadema, Maana chama Cha siasa ni watu, kwa maana wanachama Wako na wafuasi pia
 
Hata kilichofanyika serikali za mitaa wanachama wengi hawajaridhika, nimemwangalia mama mmoja kule katavi anasema aligombea uwenyekiti wa mtaa alishinda akaporwa ushindi wake Hana hamu na mbowe, anasema anawaomba wajumbe wote nchi nzima wampe lissu ushindi wa kishindo
 

Mbowe ni sikio la kufa.

Washirika wake ni sugu, Boni yai, MMM, Wenje na wa namna hiyo nao ni sikio la kufa.

Mitandaoni nao ni hao hao sikio la kufa.



Ngoja tuone.
 
Kiukweli kama wapiga kura wa mkutano mkuu wa chadema watazingatia maoni ya wananchi walio wengi hawezi kumpa kura mbowe kuwa mwenyekiti wa chadema, Maana chama Cha siasa ni watu, kwa maana wanachama Wako na wafuasi pia

Sijui kwa kweli nini Kinaenda kutokea
 
Ni busara kuu kama angestaafu Kwa heshima kabla ya kutaka kustaafishwa na sanduku la kura

Ngoja tuone namna atakavyoutoboa mtumbwi wanaosafiria na ndo azma iliyo bayana unapomwamgalia kwenye macho na mwili wake ktk yale mahojiano
Akina mtei wamekaa pembeni , na waasis wengine wa upinzani. Bado wanatambulika, anacho ogopa huyu bwana ni nini?
 

Intelejensia ya chama haikuona hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…