Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
- #81
Duniani hakuna Haki,akileta ujinga atarudi Ubelgiji Kwa Amsterdam wake.
Nimekupa mfano kwamba Mwabukusi Yuko wapi? Yale makelele unayasikia tena?
By the way kama Kuna watu mnategemea any positive Kwa Lisu na Heche imewakata.
Hao kwanza ni maskini,watalazimika.kutumia Mali za chama kujijenga kimaisha kwanza so hawatakuwa na makeke yeyote.
CCM hawatakubali Lisu awe Mwenyekiti wa CHADEMA.
Hawawezi kumdharau hautafanya chochote, wanasema usiidharau nguvu ya adui yako