Mbowe ameingiwa na hofu. Nini kimempa Hofu na kukata tamaa?

NI HESHIMA KUBWA SANA BW MBOWE UJITOE KWENYE KINYANGANYIRO CHA UCHAGUZI BADO NAFASI YA KUTETEA HESHIMA YAKO IPO
 
Kura za maoni sehem kubwa FAM kachemka!
Sasa unaenda kuwa chairman wa wajumbe au wananch? Wananchi wasiokuwa na iman na wewe, kwa kifupi, FAM akichukua uenyekiti,chadema itapasuka na it will never be the same,lawama zote zitaenda kwa FAM.
Binafsi naona bado anaweza kumuunga mkono Lissu 2025 pawe pamoto.
 

Kura za maoni zaidi ya 80% hazimuungi Mkono hiyo kwake ingetakiwa aitumie kufanya maamuzi sahihi ya busara
 
Hii ni fair analysis kabisa. Mbowe bado ana muda wa kuibuka shujaa. Amuunge mkono TAL
 
Binaadamu ni viumbe visivyo na shukurani, haya matusi anayotukanwa Mbowe dah nashindwa kuamini
 
Kila zama na kitabu chake. FAM akubali tu hana ushawishi tena akae pembeni.! Akishupaza shingo na wajumbe wakampitisha hio trh 21, chama alichokijenga kwa jasho na damu anaenda kukizika rasmi mwenyewe. !
 
Kila zama na kitabu chake. FAM akubali tu hana ushawishi tena akae pembeni.! Akishupaza shingo na wajumbe wakampitisha hio trh 21, chama alichokijenga kwa jasho na damu anaenda kukizika rasmi mwenyewe. !

Hata Lipumba hakuelewa kuzisoma alama za nyakati:

 
Shida ya Mbowe, pale anapohisi kwamba chama kimefika pale kwa juhudi zake binafsi bila viongonzi wenzie au wanachama.

Anasema yeye ndo aliwaleta wakina lisu na wengine , ndio alifanya kazi nzuri sana.

Ila lengo si ilikua kuwa na taasisi imara ,na badae kuwa viongozi imara shida nini sasa wakati umeisha watengeneza vijana wa kuweka chama sawa na kuendeleza alipo ishia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…