Mbowe ameingiwa na hofu. Nini kimempa Hofu na kukata tamaa?

Ana muda wa kujitafakari,ngoja tusubiri...
 
Ni kama kuna watu wanamshinikiza Mbowe aendelee kuongoza japo mwenyewe hakuwa tayari! Je, ni watu gani hao?
 
atakuwa mwenyekiti wa wajumbe 1200 ambao pia hawana imani naye Kwa sasa
 
Ni kama kuna watu wanamshinikiza Mbowe aendelee kuongoza japo mwenyewe hakuwa tayari! Je, ni watu gani hao?
Ni sampuli yawatu kama wale waliomwambia Nyerere chama bado kichanga using'atuke, kumbe c chama bali nifamilia zao ndo changa
 
Hatukatai Amefanya vizuri Sana lakini sasa anaenda kuharibu mazuri yote aliyoyafanya
 
Lisu atapata ajali mbaya afe ghafla.
 
NI HESHIMA KUBWA SANA BW MBOWE UJITOE KWENYE KINYANGANYIRO CHA UCHAGUZI BADO NAFASI YA KUTETEA HESHIMA YAKO IPO
Kwake na wenzake ni ngumu kujitoa kutokana na mpunga mrefu waliopewa Ili kukidhoofisha chama na kukisajili kuwa CCM C,maana CCM B ni wale wanaojiita ACT
 
Kwa usalama wa kihali na Mali aliohakikishiwa haoni tabu huo mpasuko ukitokea au chama kutambulika km CCM C
 
Mbowe ana akili na Busara sana hili atalimaliza kidiplomasia na chama kikasonga mbele
 
View: https://www.instagram.com/reel/DEfIMQIT7lq/?igsh=NzUwcjBjeXZuamNr
 
Kushindwa uchaguzi sio shida na Kwa hulka ya Mbowe akishindwa Wala asiongee akae kimyaaa asubirie siku kikibuma ndio ajitokeze kama ropo.ropo.wake alivyojitokeza na kumkejeli siku amekamatwa kwamba maridhiano Yako wapi? 🀣🀣
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Kikawaida Lisu haongei kabla hujamuanza.

Pia Lisu haongei kama Unatenda HAKI.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Kikawaida Lisu haongei kabla hujamuanza.

Pia Lisu haongei kama Unatenda HAKI.
Duniani hakuna Haki,akileta ujinga atarudi Ubelgiji Kwa Amsterdam wake.

Nimekupa mfano kwamba Mwabukusi Yuko wapi? Yale makelele unayasikia tena?

By the way kama Kuna watu mnategemea any positive Kwa Lisu na Heche imewakata.

Hao kwanza ni maskini,watalazimika.kutumia Mali za chama kujijenga kimaisha kwanza so hawatakuwa na makeke yeyote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…