Mbowe ameishinda kauli ya kusema "vyama vya upinzani ni vyama vya msimu"

Mbowe ameishinda kauli ya kusema "vyama vya upinzani ni vyama vya msimu"

Endelea kuota au unatumika ili upate mkate wako. Hebu tuamie kwa sasa Chadema kwenye serikali za mitaa imepata viti/viongozi wangapi? Ujue huko ndiyo kwenye msingi. Mwaka kesho 2020 mkipata wabunge 5 mkatambike malizieni kula ruzuku za mwisho mwisho! Kuanzia 2020 ACT ndicho kitakuwa chama kikuu cha upinzani hasa kwa kutegemea Zanzibar kama watafanya vizuri
Mmekwama ninyi wana haramu.

Hata Jiwe anajua kakwama ndiyo sababu anaogopa hata uchaguzi wa vijiji na mitaa,kumbuka ujinga aliofanya nov 24

Kama mmepanga 2020 chama kikuu kiwe ACT mwambie Jiwe safari hii watu wanachomoa betri.

Lisu yuaja,kama vipi Jiwe asigombee,atakufa kwa presha
 
Mbowe anawazidi watu wengi sana maarifa, Mbowe anajua siasa za field na si siasa hizi za kwenye makaratasi; Bila Mbowe siasa za upinzani Tanzania zisingekuwa zimefikia hapa zilipo; zingekiwa mochwaree.
Yaani kitendo cha CCM kuomba poo katika uchaguzi wa Serikali za mitaa ni ushahidi tosha.

Mbowe ni Jabari la siasa Afrika, nguli wa siasa za upinzani ..hili halina ubishi kabisa.

Mungu akulinde Mh. Mbowe, eti wanataka uachie njiani ili wapumue...
Nimekuelewa sana kiongozi... Kumbe serikali za mitaa waliogopa wakautibua mchezo.
 
Mbowe anastahili sifa, kumnunua wameshindwa, wamemharibia biashara wamemtisha, wamemuweka ndani, wamemfungulia kesi, wamemfanyia vitimbi vya kila aina lakini hakubadilika wala kusaliti chama na wanachama.
 
Ukweli uratuweka huru.
Chadema hakikujengwa kutokana na msimamo wa Mbowe.
Demokrasia ndiyo iliyokijenga na vijana wengi wapenda Demokrasia wakapata chama cha kuonyesha uwezo wao wa kutoa mawazo mbadala.

Chadema hakikuwa na nguvu kama CUF kwa muda mrefu sana mpaka alipokuja Dr. Slaa.
Nguvu ya kura na Idadi ya wabunge ikaongezeka kitokana na mafuriko ya Lowasa
Kwa nini ni Dr.Slaa aliyekiimarisha Chama ?:-
...Uwezo wake wa kujenga hoja kisomi.
...Ujasiri wake.
...Nguvu ya Kanisa Katoliki ambalo kwa kiwango kikubwa waliona anauwezo mkubwa wa kupambana na dhulma lakini pia kusimamia ukweli.
...Makundi ndani ya CCM.
...Kashfa ya Richmond iliyomtoa Lowasa kwenye uwaziri mkuu na kufanya serikali ya JK kukosa msimamizi imara na mwenye kutumia ubabe kudhibiti wale wanaobeza juhudi za Serikali ya CCM.
... Demokrasia iliyokua imehamiri kipindi cha JK.
...Uhuru wa vyombo vya habari.
... Uhuru wa Kisiasa.
...Mtei na Bob Makani kuonyesha Demokrasia kwa vitendo.
... n.k.
Lakini pia Mafuriko ya Lowasa yakazidi kuogopesha Chama cha mapinduzi.
CCM waliweweseka na mafuriko ya Lowasa na sio Juhudi za Mbowe.
Mbowe ni mjasiriamali tu anayekitumia Chama kufanya biashara zake kwa kikopesha chama bila ridhaa ya mtu yeyote.Kujiwekea madeni hewa ya Chama na kufanya manunuzi bila kufuata sheria n.k.

Leo hii UDP isingenunuliwa kama sio Cheyo kung'ang'ania kwenye kiti.
Mbowe ameshakiuza Chama kwa sababu 2020 atakosa hela za Ruzuku na Mali zake nyingi zitayeyuka.
ACT Wazalendo kitakua Chama Kikuu cha Upinzani kutokana na kuwa na wabunge toka Zanzibar.
Vijembe vitatawala toka ACT na matokeo yake Mbowe ataona CCM ni Rafiki zaidi kuliko ACT. Mbowe baada ya 2020 atakua anaunga mkono zaidi CCM kuliko wapinzani wenzake.

Kwa mafanyabiashara bila kumdhibiti Mbowe atazeekea kwenye Madarakani mana ni sehemu ya kibiashara kumiliki chama kikubwa kama Chadema.

Kusema kuwa Vyama vinauawa na Wenyeviti bila kumalizia kwa kusema wazi kuwa ni WENYEVITI WANAONG'ANG'ANIA VITI.
 
FB_IMG_1570488518462.jpg
 
Back
Top Bottom