Mmekwama ninyi wana haramu.Endelea kuota au unatumika ili upate mkate wako. Hebu tuamie kwa sasa Chadema kwenye serikali za mitaa imepata viti/viongozi wangapi? Ujue huko ndiyo kwenye msingi. Mwaka kesho 2020 mkipata wabunge 5 mkatambike malizieni kula ruzuku za mwisho mwisho! Kuanzia 2020 ACT ndicho kitakuwa chama kikuu cha upinzani hasa kwa kutegemea Zanzibar kama watafanya vizuri
Hii inaitwa.. tujipe moyo.. [emoji4]
Mwenyekiti wa CDM nyie anawahusu nini kwani?Kama ni hivyo.. kwanini bado mnajipiga sana kumtetea Mwenyekiti wenu?
Nimekuelewa sana kiongozi... Kumbe serikali za mitaa waliogopa wakautibua mchezo.Mbowe anawazidi watu wengi sana maarifa, Mbowe anajua siasa za field na si siasa hizi za kwenye makaratasi; Bila Mbowe siasa za upinzani Tanzania zisingekuwa zimefikia hapa zilipo; zingekiwa mochwaree.
Yaani kitendo cha CCM kuomba poo katika uchaguzi wa Serikali za mitaa ni ushahidi tosha.
Mbowe ni Jabari la siasa Afrika, nguli wa siasa za upinzani ..hili halina ubishi kabisa.
Mungu akulinde Mh. Mbowe, eti wanataka uachie njiani ili wapumue...
Ile ingekuwa aibu!!!Nimekuelewa sana kiongozi... Kumbe serikali za mitaa waliogopa wakautibua mchezo.