jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 36,197
- 29,717
Bila shaka huko aliko Mwenyekiti Mbowe anauma mdomo na kugonga meza kwa maboko anayotoa lissu kwenye majukwaa hivi sasa.
Mwenendo,kauli na maneno ya lissu kwenye majukwaa mbalimbali yanaashiria ameathirika kisaikolojia na inawezekana ana magonjwa mawili kati ya haya....
1-PTSD
2-BDD
magonjwa haya yanamuondolea utulivu wa kiakili na kimwili na hivyo kuwa ni kituko mbele ya jamii.
Ushauri wangu:
Mnyika na Mbowe ni muhimu kufanya intervention ya haraka ya kumsaidia ikibidi kumpeleka hospitali na kumuepusha na mazingira yenye stress.
N.B :Huwezi kumkashifu legend Magufuli mbele ya watanzania ukategemea usikilizwe.
Mikutano imedoda na kiki zimegoma.