Mbowe amejitahidi kuifufua CHADEMA ila Lissu ndio kapigia jeneza msumari wa mwisho!

Magufuli ni legend wa nini, wa kuigawa nchi? Mungu ni fundi tunamshukuru sana, hii nchi leo ingekuwa na hali mbaya sana ila Mungu ameiponya. Yule alikuwa mbaguzi, katili, muuaji, mkandamizaji. Watanzania wasomi mpaka leo wanaadhirika mitaani kwasababu, lilikuwa shetani. Eti mzalendo, bila hata haya?
 
Kuna kitabu kimeandikwa na mwanazuoni wa Malawi.kitafute
 
Kwani Magufuli alikuwa Malaika?Hata huyo Lissu ana mapungufu yake.
 
mafisadi yaliyoneemeka kipindi cha magufuli yamechanganyikiwa baada ya siri yaliyokuwa yameificha muda mrefu kufichuliwa na bado mpaka muwe vichaa shenzi nyinyi.
 
Tuseme ukweli jamani, chadema ilikua ICU aliyekuja kuiponesha ni mama Samia. Leo 'mganga" aliyewapa mwarubaini na kuwatoa ICU ndiye huyohuyo wanamuona ni mchawi.

Hakuna" kiongozi" yeyote wa chadema sasa hivi anaefanya siasa kwa kuwa labda kuna sera au malengo wanayoyafata. "Viongozi" wote wa chadema sasa hivi ni wakandarasi wa kila mmoja kivyake. Hakuna sera, hakuna mpano, hakuna kuratibu.

Anaemlipa mmoja wao yeyote zaidi ndiye ataetangaziwa anachokitaka. Hili ni wazi kabis.

Sukuma ganga, inawatumia, haya gang inawatumia, wafanya biashara wlaiokuwa wanafaidika na misamaha ya kodi kupitia kanisa wanawatumia. Wafanya biashara walioumizwa bandarini wanawatumia.

Mafaruku ndani ya chadema ni mkubwa sana, kila mmoja sasa hivi amakula kwa urefu wa kamba yake.

Tusitegemee kabisa kuona chadema ikiwa chama cha ushindani wa kisiasa kama wengi wanavyotarajia. Sasa hivi humo ndani kuna ugomvi wa chini kwa chini wa nani hajatoa mgao fulani waliopokea kwa fulani. Kuna mparaganyiko wa hali ya juu ambao kwa kutazama kijuujuu hautauona.
 
mmegongwa utosini baada ya kujigundua kuwa mlikuwa mnatumika bure bila mgao kumbe mungu wenu alikuwa anamiliki dollar mamillion ndani wajinga nyinyi.
 
na mbowe ameiba sh ngapi ya ruzuku ya chama?
 
mmegongwa utosini baada ya kujigundua kuwa mlikuwa mnatumika bure bila mgao kumbe mungu wenu alikuwa anamiliki dollar mamillion ndani wajinga nyinyi.
Sio kila mtu ni shabiki wa hivyo vyama vya siasa,angalia comment zangu zote hapa JF uone kama mimi nipo kwenye huo ubishani wenu wa kisiasa,mimi nimechangia kama mchangiaji huru tu,

Acha kukariri kijana,sio kila mtu yupo kwenye hayo mabishano yenu ya vyama vya siasa.
 
rudisheni bandari mlizogawa kwa hongo majinga nyinyi na viongoz wenu huko ccm.
 
Hao hao kina mbowe ndiyo wamemtegeshea, wanajua akili ya kukurupuka..

We fikiria kati ya mikutano ya mwenyekiti na ya Lissu ipi ilizidi kuwa maarufu kadri siku zinavyoenda?

Lissu alikuwa anamuharibia Mbowe hata kwenye makubaliano yake na Samia. Lakini alianza kumfunika kwa upande wa maarufu.

Ilikuwa lazima wamtafutie lissu fupa gumu wamdanganye nyama ili ameze bila kutafuna.

Nae kabugia tu.
 
Huyu TL ni mwaanaharakati asie jitambua
 
kwan kunufaika na maovu ya huyo magufuli ilihitaji uwe na chama, nyie ndio mliokuwa mnatumika hovyo hovyo bila kujua mungu wenu alikuwa mporaji wa mali za umma lissu ameliumbua hilo jiz lililokufa mmebaki kupuyanga na bado mpaka muwe vichaa kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…