fikirikwanza
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 7,452
- 3,071
komaa kwanza kichwani harafu ufikirie tena uamuzi wako, kumbe chama unapelekwa na mtu sio sera??? akifa famba wewe utaacha uanachamaMbowe kwa sasa anakimbiza kila mkutano cjui ndiyo anataka aingie Magogon. Babu kimyaaa. But ukweli Mbowe hana mashiko sana kwa watz kwa ujumla. Angepewa Mkigoma hata mimi ningeingia cdm.
Mbona hujaeleweka Mkuu!
Nadhani ungeanza wewe kuwa objective kwa kutoa tafsiri halisi ya demokrasia na kuonyesha misingi isiyotia shaka ya demokrasia katika kujenga hoja yako ambayo nina ujasiri wa kuipa jina 'short sighted analyisis'.
Kinachoamua uongozi wa kisiasa ni demokrasia na si vinginevyo.Huwezi kuzuia demokrasia kwa utashi binafsi.It's nonensense!
y
Demokrasia ni mchakato,haki za watu hazifungwi kwa njia yoyote wala maoni binafsi zaidi ya sauti itokanayo na ballot box.
Mkuu,
Nikupongeze kwa kuwa huru na kuachana na utumwa wa fikra kama walivyo mashabiki wengine.
Hoja yako ni ya msingi sana, na nitoe rai yangu kwa wana CHADEMA kusu uhuru wa mawazo, ni vyema ukawa huru.
Mkuu,
Nikupongeze kwa kuwa huru na kuachana na utumwa wa fikra kama walivyo mashabiki wengine.
Hoja yako ni ya msingi sana, na nitoe rai yangu kwa wana CHADEMA kusu uhuru wa mawazo, ni vyema ukawa huru.
ushabiki wa siasa ni tofauti sana na wa mpira.
Kuwa sehemu ya mabadiliko ya kweli. Naamini Lema, Mdee wakifundwa wanaweza kuwa Wenyeviti wazuri.
Tunapojadili mabadiliko tunaijadili CHADEMA TU. Tlp, Udp, Dp, na Cuf ni Vivuli tu au ni sawa na kujifunika mwanvuri wa kuzuia jua CHINI YA MTI WENYE KIVURI AU MWANVURI WA mvUA CHumbani
Mbowe kwa sasa anakimbiza kila mkutano cjui ndiyo anataka aingie Magogon. Babu kimyaaa. But ukweli Mbowe hana mashiko sana kwa watz kwa ujumla. Angepewa Mkigoma hata mimi ningeingia cdm.
[/COLOR][/B]
Khaaa hapo kwenye red nikikumbuka mlivyomshupalia Zitto atoe jina.....................
Au ulikuwa unamaanisha nini mkuu?
Nakubaliana na wewe kuwa ili kudumisha demokrasia ni vyema ukawepo utaratibu wa kupishana kwenye Uongozi..
CHADEMA ina historia ya Kubadilisha Wenyeviti since then, hivyo ni dhahiri kuwa Mbowe naye ipo siku atamkabidhi mwingine kijiti, hofu ondoa.
Nakumbuka Mbowe mwenyewe alishawahi kutaka kupumzika Uenyekiti wa CHADEMA ili kumpisha mwingine..
Wadau wengi wa CDM hatukumuunga mkono Mbowe kuachia Madaraka hasa katika kipindi hiki ambacho Chama kiko bize na harakati, hiki ni kipindi ambacho Busara za Mbowe zinahitajika sana na zinatumika sana. Wakati ukifika basi kwa Moyo mmoja tutamruhusu akabidhi kiti kwa mwingine.
kunachokochoko nyingi dhidi ya Uongozi wa CHADEMA. Ni bora taratibu zingefanyika mapema na kwa utulivu kumkabidhi mtu anayefaa na kuondoa hayo makelele na uongozi wakimapinduzi
kunachokochoko nyingi dhidi ya Uongozi wa CHADEMA. Ni bora taratibu zingefanyika mapema na kwa utulivu kumkabidhi mtu anayefaa na kuondoa hayo makelele na uongozi wakimapinduzi