Mbowe amepoteza sifa za kuendelea kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA

Mbowe ajitafakari kwa uzinzi wake, matumizi mabaya ya madaraka, kuzaa nje ya ndoa , kumtotoa lissu na mnyika kisha ajipime arudi kwa baba mkwe wake mtei wafanye biashara ya DISCO na NIGHT CLUB
 

Naona kama na ww no mhaini aka unatokea upande uleee
 
Pamoja na kuwa yeye ni mwenyekiti wa Saccos CDM, ataendelea kuwa maarufu wa kuongeza mahawala na kuendelea kumdhalilisha Mke wake!
 
Je,nilini Umeiangalia Chadema kama Chama Kikuu cha Upinzani Tanzania..!Acha unafiki wewe binafsi,Maccm wenzako na kibalaka wenu ZZK...Acheni kujidanya na hizo kashfa mnazowatengenezea viongozi wa Chadema!Elewa mmeshindwa kwenye Udini,Mmejalibu kwenye Ugaidi nako mmeshindwa sasa mmehamia kwenye hizo propaganda Mpya...Waambieni Mnaowatumikia Watanzania wanawachukia kwasababu wameshindwa kututumikia Mf;walipandisha bei ya mafuta ya taa bila kujali athali kwa wananchi wahali ya chini,Wamepandisha bei ya Umeme bila kujali mwaka mpya wa fedha wa serikali nakusababisha mfumuko wa bei nchini kila kitu kwasasa hakishikiki...Ili kuleta unafuu kwa mwananchi wa kawaida lazima Maccm na vibalaka wao wang'oke popote pale kwasasa au hata kwenye chaguzi zijazo!
 
  1. Kashfa ndani ya Bunge
  2. Kashfa ndani ya Chama
  3. Kashfa ndani ya familia
  4. Kashfa ndani ya jamii.................aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaahhhh jamani..............turudi kuwa ma GT
 
mleta uzi alikuwa na mawazo constructive lakn watu wamekuwa washabiki zaid na ndio ninpoona ccm itaendelea kutawala.sis tuko bize kujibu hoja mitandaoni wao wanaenda vijjn kwa wapiga kura
 
Teh huo Uzi kwa MTU anayejua fasihi kiundani unamtukana mbowe ,naona zzk kuanzia Jana kabadilisha upepo
 
Na zzk amepoteza sifa ya kuendelea kuwa mwanachama wa cdm na ni bora akajiondoa mapema!
 
Kuna wakati huwa napata shida kuamini kama kweli wewe ni mtoto wa Mzee Malecela, mbona sioni aina yoyote ya hekima uliyorithi kutoka kwa Mzee malecela? Kweli ukubwa wa pua si wingi wa kamasi, kwa ukubwa wa umbo lako mtu anategemea hata ubongo nao ni mkubwa kumbe ka ubongo ni kiduchu tu.
Hivi leo bei ya umeme imepanda ukinunua umeme wa sh. 10,000 ni kama umeibiwa leo mtu mzima unatuletea mambo ya kanga na uswahiliswahili, jamani kwani msimsaidie JK amalizie ngwe yake vizuri kwa kukamilisha ahadi zake?
 

Eti anasema mbowe ni mpiga deal kama zzk ,hii kweli sawa?huku si kumtukana mwenyekiti?teh LMAO
 
Kuanza kuchangia uzi huu haitakuwa na maana badala yake tungetumia muda huu kupanga jinsi ya kuishinikiza serikali kushusha bei ya umeme.....
Kusema Mbowe kang'ang'ania madaraka ni hofu ya kujitakia....kwani fomu za uenyekiti wa chama zimeshatolewa? na Freeman Mbowe amechukua?
 
Hivi huko CCM mmeshavuana gamba?
mafisadi wote mbona ndio hao hao mliowarudisha katika ngazi za uongozi kwenye chama?
wale wasafi wote mkawatosa kwa vile hawakua na uwezo wa kuhonga.
Lowassa et all, katibu wenu na kashfa za meno ya tembo mbona hamumfuti kazi?
Ukimlinganisha Mbowe na Kinana na viongozi wengine huko chamani hata ww pia unapenda kuandamana na
wadosi wa mjini tena wale tunaojua wanahusika na ile biashara ya sembe na wewe ni msafi?
Hebu kuwa wa kwanza kumrushia jiwe Mbowe na Chadema kama una ubavu huo...
 
Babako na Mamako wa Kambo wanamheshimu Mh.Mbowe,wewe unaonekana kukosa heshima dhidi ya Wakubwa zako.Unafahamu vizuri kwanini Babako aliitwa TingaTinga?Unafikiri sifa hiyo kwa jinsi alivyotumikia chama chake alistahili?
Ungekuwa na akili ungekuwa upinzani,lakini kwakuwa .........ndio maana unaweza kuja na hoja muflis kama hiyo.
 

- Kukosa heshima? Really? Hapa nani amekosea heshima wenzake Mwenyekiti wenu aliyeponza wananchi kuandamana mpaka kuuawa au mimi ninayeshangaa kwamba kumbe anavuta pesa toka kwa kina Rostam na Mkono, si Slaa aliwataja hawa kuwa ni hatari sana kwa Taifa kumbe mnazuga wananchi halafu mnaenda kuvuta pesa zao, sasa yametoka aibu unasema kuyajua na kuyashangaa ni kukosa heshima?

- Umeona majibu ya Mwenyekiti wako anakubali live kwamba ni kweli alivuta hizo pesa, case closed Aibuu!!, ustaarabu unataka ajiuzulu tu na kuwaachia wengine mbona mawaziri 4 wa CCM wamejiuzulu? Eti msaliiti, mhaini, pandikiz sasa tuambieni nani ni pandikizi hapa? ha! ha1 ha!

Le Mutuz

Le Mutuz
 

Miaka mitatu iliyopita – Novemba 2009, gazeti la ----------- lilichapisha habari hii kwenye ukurasa wake wa kwanza kuhusu Zitto Kabwe.
Gazeti lilikuwa limefanya mahojiano na Mama Mzazi wa Zitto, Shida Salum. Katika mahojiano hayo, Mama Mzazi wa ZItto alikiri mwanawe kutumiwa na watu wasiokitakia mema chama.

Leo ni miaka mine tangu Mama Zitto kueleza hayo. Sasa wakati tukitafakari yanayompata Zitto ndani ya Chadema, tuyaangalia yale ambayo Mama Zitto alieleza wakati huo.



SHIDA Salum, mama mzazi wa Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Maendeleo na Demokrasia (CHADEMA), Zitto Kabwe, ameibuka na kusema mwanaye anatumiwa kukivuruga chama chake.

Akizungumzia taarifa zinazoandikwa na baadhi ya magazeti kuhusu kinachoitwa mgogoro wa uongozi katika CHADEMA, kati ya Zitto na viongozi wenzake, Shida alisema, “hakuna mgogoro pale, kuna kikundi cha watu wanaotaka kumtumia mwanangu kufanikisha mambo yao.”

Akizungumza na gazeti hili juzi jijini Dar es Salaam, alidai kuna watu walio nje ya CHADEMA wanakula njama za kumgombanisha mwanawe na viongozi wenzake.

Alisisitiza, “kuna baadhi ya wanasiasa ndani ya CHADEMA wanaotumiwa na walio nje kugombanisha viongozi.”

Akaongeza, “Mambo ya uchaguzi yalikwisha kitambo na Zitto kwa moyo mmoja alikubali kumaliza tofauti zake na Mbowe (Freeman Mbowe) ndiyo maana akamuacha Mbowe kuwa mgombee pekee wa uenyekiti.”


Shida aliwatuhumu watu walio nje ya CHADEMA akisema ndio wanaopandikiza mbegu za chuki kwa lengo la kuwavuruga. Hata hivyo, hakuwataja.

Alisema kila mwenye akili timamu anajua kinachotafutwa, na nani mkweli na yupi anasingiziwa.

“Angalia wanaoandika haya. Kweli Zitto anaweza kutetewa na magazeti ya Habari Corporation yanayomilikiwa na Rostam Aziz halafu ukaamini kile kinachoandikwa?” alihoji.

Aliongeza, “Rostam yupi? Ni huyu tunayemjua au mwingine? Kwa wema upi alionao kwa chama chetu.”

Wiki iliyopita magazeti ya Rai na Mtanzania yalinukuu taarifa zikidai kuwa zimetolewa na Shida, kwamba anataka mwanawe aondoke kwenye chama hicho kwa kile ilichoeleza kuwa “kumwepuesha na yaliyomkuta Chacha Wangwe.”

Katika kujibu hilo, Shida anasema, “Mimi na Zitto tunajua katiba ya chama chetu. Tunafahamu taratibu za kuendesha chama. Yeye ni naibu katibu mkuu, mimi ni mjumbe wa Kamati Kuu. Tunajua nini maana ya uongozi, hivyo hatuwezi kukurupuka barabarani.

“Kwamba kama kuna malalamiko au tuhuma mathalani juu ya uteuzi wa wabunge wa viti maalum, basi sote ni sehemu ya hicho kinacholalamikiwa. Kutokana na hali hiyo, hatuwezi kujifanya hatuhusiki na tukatuhumu kupitia vyombo vya habari, tena magazeti yanayomilikiwa na mwanachama wa CCM.”

Shida alisema anajua kwa mapana chanzo cha yote yanayoandikwa na jitihada za kutaka kumgombanisha Zitto na viongozi wenzake, hasa Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dk. Willibrod Slaa na mwenyekiti wake, Freeman Mbowe.

“Yote haya tunafahamu chazo chake. Si uchaguzi wa ndani ya chama. Uchaguzi ulishakwisha na Zitto kwa moyo mmoja alikubali kumuachia Mbowe uenyekiti ili kulinda maslahi ya chama,” alisema.

Alisema kuwa yeye kama mlezi, hawezi kuruhusu hali hiyo, hivyo atatumia nafasi yake ya mjumbe wa CC kuhakikisha kwamba tabia hiyo ya kugombanisha viongozi inakoma.

“Nikiwa mzazi, mlezi na mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA, siwezi kuruhusu Zitto kutumika kuingiza chama katika mgogoro. Nitasimama imara kuhakikisha kwamba CHADEMA inakuwa salama,” alisema.

Wiki iliyopita, Dk. Slaa aliwaondoa katika nafasi za utendaji David Kafulila aliyekuwa Afisa Habari na Danda Juju aliyekuwa Afisa anayeshughulika na Halmashauri na Bunge kwa kile kinachoelezwa kuwa utovu wa nidhamu kwa chama na viongozi wake.

Kafulila alinukuliwa na baadhi ya magazeti kuwa alibeza kikao cha viongozi wa juu wa chama hicho kilichofanyika Dodoma ambapo Mbowe na Dk. Slaa walikutana katika kikao cha kawaida na wabunge wa chama hicho na baadhi ya wakurugenzi.

Kafulila alisema mkutano huo wa viongozi haukuwa na maana; na alifika mbali zaidi kwa kuufananisha na vikao vya geto. Ni matamshi hayo na mengine yaliyomfanya Dk. Slaa kutumia mamlaka yake ya kikatiba kumuondoa Kafulila katika wadhifa huo.

Taarifa zinasema hoja ya kumuondoa Kafulila katika kikao ilitolewa na Msafiri Mtemelwa, mmoja wa viongozi wake na ambaye alikuwa meneja wa kampeni za Zitto wakati wa kuwania uenyekiti wa CHADEMA
 
mleta uzi alikuwa na mawazo constructive lakn watu wamekuwa washabiki zaid na ndio ninpoona ccm itaendelea kutawala.sis tuko bize kujibu hoja mitandaoni wao wanaenda vijjn kwa wapiga kura

asante kwa kunielewa tusaidiane kuijenga nchi yetu
 
Wajinga wenzako watakuunga mkono lakini kwa hakika hata mamako hakubaliani na upumbavu wako,achilia mbali mkeo/mmeo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…