OPEN the Door
Senior Member
- Nov 15, 2024
- 170
- 84
- Thread starter
-
- #81
Mbowe na Lisu hawawezi kugombana, ni mtazamo wa kisiasa tu inayowatenga Kwa sasa ila baada ya uchaguzi watarudisha uhusiano wao kama Kwa sasa umedorora.Sasa Kama hata Lissu anaogopa kula Kwa mbowe, kuna busara tena?
Inanyesha kidogo sana lakini pia lote linavuja
Mtanzamo wa kisiasa kusema mwenzako kahongwa?Mbowe na Lisu hawawezi kugombana, ni mtazamo wa kisiasa tu inayowatenga Kwa sasa ila baada ya uchaguzi watarudisha uhusiano wao kama Kwa sasa umedorora.
Sikutukani lakini, Rushwa ni adui WA haki. Ubarikiwe sana.Mtanzamo wa kisiasa kusema mwenzako kahongwa?
Ni bahati mbaya tu serikali yetu waungwana sana
Tuhuma za rushwa ni character assassination na pccb should be on top of this
Hii ya sumu is worse… implying mbowe ni muuaji
Tukana tuSikutukani lakini, Rushwa ni adui WA haki. Ubarikiwe sana.
Sahihi ,mfano kauli ya kusema chama chake CHADEMA ,anamejitahidi kufananisha chama na kendezakeSasa ajibu nini kama hana hoja????
Shukrani sana.wewe umeujua ukweli na uko HURU.Mbowe kukaa kimya ni sawa, Mbowe ni mtu mzima,ni mwanasiasa mkubwa,siyo kila kitu ajibu yeye,vingine anafaa sana kuvinyamazia akisubiri wakati muafaka wa kujibu,kimya huwa ni jibu zuri mno.
Ukweli haupo kwenye sumu. Sumuu ya nini?Mtanzamo wa kisiasa kusema mwenzako kahongwa?
Ni bahati mbaya tu serikali yetu waungwana sana
Tuhuma za rushwa ni character assassination na pccb should be on top of this
Hii ya sumu is worse… implying mbowe ni muuaji
Pamoja na yote aambiwe kura inatoshaHabari za Dominika wapendwa. Nakwenda kwenye mada. Naona Mwenyekiti Freeman Aikaeli Mbowe ametulia.
Hajibujibu tuhuma anazitupiwa na Watu wasiompenda. Hii inaonesha hekima, busara, uongozi uliotukuka.
Bila shaka wajumbe wa Mkutano Mkuu ndiyo waamuzi siku ya kura Kwa kuwa majibu yatapatikana tarehe 21/01/2025.
Huo ndo ukweli. Makamu Mwenyekiti Tundu Antipas Lisu na wale wengine waliochukua fomu muwe wapole na msibomoe chama chenu Kwa kuvuana nguo kutoa madhaifu ya chama chenu maana haisaidii kutangaza madhaifu ya chama Kwa Dunia isiyoweza kuwasaidia bali madhaifu yenu mnapaswa kuyasawazisha ninyi wenyewe.
Kura zipigwe Kwa halali. Kura Hivyo itupatie uhalali wa Chadema kuitwa chama Cha kidemokrasia na ndiyo iwe msingi wa kudai KATIBA MPYA na TUME HURU YA UCHAGUZI.
Nawasilisha.
Habari za Dominika wapendwa. Nakwenda kwenye mada. Naona Mwenyekiti Freeman Aikaeli Mbowe ametulia.
Hajibujibu tuhuma anazitupiwa na Watu wasiompenda. Hii inaonesha hekima, busara, uongozi uliotukuka.
Bila shaka wajumbe wa Mkutano Mkuu ndiyo waamuzi siku ya kura Kwa kuwa majibu yatapatikana tarehe 21/01/2025.
Huo ndo ukweli. Makamu Mwenyekiti Tundu Antipas Lisu na wale wengine waliochukua fomu muwe wapole na msibomoe chama chenu Kwa kuvuana nguo kutoa madhaifu ya chama chenu maana haisaidii kutangaza madhaifu ya chama Kwa Dunia isiyoweza kuwasaidia bali madhaifu yenu mnapaswa kuyasawazisha ninyi wenyewe.
Kura zipigwe Kwa halali. Kura Hivyo itupatie uhalali wa Chadema kuitwa chama Cha kidemokrasia na ndiyo iwe msingi wa kudai KATIBA MPYA na TUME HURU YA UCHAGUZI.
Nawasilisha.
Joke of the year.Mtanzamo wa kisiasa kusema mwenzako kahongwa?
Ni bahati mbaya tu serikali yetu waungwana sana
Tuhuma za rushwa ni character assassination na pccb should be on top of this
Hii ya sumu is worse… implying mbowe ni muuaji
Mahakama zipo? Peleka madai Yako.Hata ungekuwa ni wewe umegundulika kula Rushwa na kupoteza wenzako ungeweza kufungua mdomo wako?
Mbowe kapigwa na kitu kizito. Kumbuka pia naye anapita kwenye social media humu anaziona Pini za Watanganyika
Lakini uwe makini na unachoongea. Siyo kila KATIBA lazima tuijadili. Je, tuijadili katiba ya Chadema tu?Nope, huu ujinga wa hekina na busara upo Tanzania tu, ndio maana hatuna maendeleo. Ukweli ni kwamba Kiongozi lazima afuate Katiba na sheria ambazo tume jiwekea kutuongoza na maadili ya uongozi, nothing else. Tuna boronga, viongozi wabovu tuna kimbilia kusema helima na busara.
Goli la mkonoHabari za Dominika wapendwa. Nakwenda kwenye mada. Naona Mwenyekiti Freeman Aikaeli Mbowe ametulia.
Hajibujibu tuhuma anazitupiwa na Watu wasiompenda. Hii inaonesha hekima, busara, uongozi uliotukuka.
Bila shaka wajumbe wa Mkutano Mkuu ndiyo waamuzi siku ya kura Kwa kuwa majibu yatapatikana tarehe 21/01/2025.
Huo ndo ukweli. Makamu Mwenyekiti Tundu Antipas Lisu na wale wengine waliochukua fomu muwe wapole na msibomoe chama chenu Kwa kuvuana nguo kutoa madhaifu ya chama chenu maana haisaidii kutangaza madhaifu ya chama Kwa Dunia isiyoweza kuwasaidia bali madhaifu yenu mnapaswa kuyasawazisha ninyi wenyewe.
Kura zipigwe Kwa halali. Kura Hivyo itupatie uhalali wa Chadema kuitwa chama Cha kidemokrasia na ndiyo iwe msingi wa kudai KATIBA MPYA na TUME HURU YA UCHAGUZI.
Nawasilisha.
Lipi hilo,acha udanganyifu,. Kama umezoea goli la mkono,tutakuona na tutakataa maana Kuna var hata kwenye UCHAGUZIGoli la mkono
Hayo manenomaneno ya kisiasa. Ukiwa mwanasiasa lazima uwe na roho ngumu kama jiwe.
Jibu hoja za Askofu Mwanamapinduzi.Hayo manenomaneno ya kisiasa. Ukiwa mwanasiasa lazima uwe na roho ngumu kama jiwe.
Fair enoughJoke of the year.