Pre GE2025 Mbowe ametulia, hajibu tuhuma anazitupiwa na watu wasiompenda. Hii inaonesha hekima na busara ya uongozi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Sasa Kama hata Lissu anaogopa kula Kwa mbowe, kuna busara tena?

Inanyesha kidogo sana lakini pia lote linavuja
Mbowe na Lisu hawawezi kugombana, ni mtazamo wa kisiasa tu inayowatenga Kwa sasa ila baada ya uchaguzi watarudisha uhusiano wao kama Kwa sasa umedorora.
 
Mtanzamo wa kisiasa kusema mwenzako kahongwa?

Ni bahati mbaya tu serikali yetu waungwana sana

Tuhuma za rushwa ni character assassination na pccb should be on top of this

Hii ya sumu is worse… implying mbowe ni muuaji
 
Mbowe kukaa kimya ni sawa, Mbowe ni mtu mzima,ni mwanasiasa mkubwa,siyo kila kitu ajibu yeye,vingine anafaa sana kuvinyamazia akisubiri wakati muafaka wa kujibu,kimya huwa ni jibu zuri mno.
 
Sikutukani lakini, Rushwa ni adui WA haki. Ubarikiwe sana.
 
Tukana tu

Mtoaji na mpokeaji wote wanapora haki ya mtu

I can’t imagine …. Baba ndubwi almost 80 years old anapangwa na watoto wake
 
Mbowe kukaa kimya ni sawa, Mbowe ni mtu mzima,ni mwanasiasa mkubwa,siyo kila kitu ajibu yeye,vingine anafaa sana kuvinyamazia akisubiri wakati muafaka wa kujibu,kimya huwa ni jibu zuri mno.
Shukrani sana.wewe umeujua ukweli na uko HURU.
 
Mtanzamo wa kisiasa kusema mwenzako kahongwa?

Ni bahati mbaya tu serikali yetu waungwana sana

Tuhuma za rushwa ni character assassination na pccb should be on top of this

Hii ya sumu is worse… implying mbowe ni muuaji
Ukweli haupo kwenye sumu. Sumuu ya nini?
 
Habari za Dominika wapendwa. Nakwenda kwenye mada. Naona Mwenyekiti Freeman Aikaeli Mbowe ametulia.

Hajibujibu tuhuma anazitupiwa na Watu wasiompenda. Hii inaonesha hekima, busara, uongozi uliotukuka.

Bila shaka wajumbe wa Mkutano Mkuu ndiyo waamuzi siku ya kura Kwa kuwa majibu yatapatikana tarehe 21/01/2025.

Huo ndo ukweli. Makamu Mwenyekiti Tundu Antipas Lisu na wale wengine waliochukua fomu muwe wapole na msibomoe chama chenu Kwa kuvuana nguo kutoa madhaifu ya chama chenu maana haisaidii kutangaza madhaifu ya chama Kwa Dunia isiyoweza kuwasaidia bali madhaifu yenu mnapaswa kuyasawazisha ninyi wenyewe.

Kura zipigwe Kwa halali. Kura Hivyo itupatie uhalali wa Chadema kuitwa chama Cha kidemokrasia na ndiyo iwe msingi wa kudai KATIBA MPYA na TUME HURU YA UCHAGUZI.

Nawasilisha.
Pamoja na yote aambiwe kura inatosha
 
Hekima wakati Polisi wanaiba kura haziwezi kuleta mabadiliko. Hii nchi inahitaji mwana harakati wa kuamsha watu walio lala. Huwezi kuwa na hekima na kushiwa kudharauliwa kama Mama alivyo mfanyia Mbowe Lissu ata amsha dude kweli kweli na ndiyo upinzani unataka kwa nyakati hizi
 
Mtanzamo wa kisiasa kusema mwenzako kahongwa?

Ni bahati mbaya tu serikali yetu waungwana sana

Tuhuma za rushwa ni character assassination na pccb should be on top of this

Hii ya sumu is worse… implying mbowe ni muuaji
Joke of the year.
 
Nope, huu ujinga wa hekina na busara upo Tanzania tu, ndio maana hatuna maendeleo. Ukweli ni kwamba Kiongozi lazima afuate Katiba na sheria ambazo tume jiwekea kutuongoza na maadili ya uongozi, nothing else. Tuna boronga, viongozi wabovu tuna kimbilia kusema helima na busara.
 
Hata ungekuwa ni wewe umegundulika kula Rushwa na kupoteza wenzako ungeweza kufungua mdomo wako?

Mbowe kapigwa na kitu kizito. Kumbuka pia naye anapita kwenye social media humu anaziona Pini za Watanganyika
Mahakama zipo? Peleka madai Yako.
 
Nope, huu ujinga wa hekina na busara upo Tanzania tu, ndio maana hatuna maendeleo. Ukweli ni kwamba Kiongozi lazima afuate Katiba na sheria ambazo tume jiwekea kutuongoza na maadili ya uongozi, nothing else. Tuna boronga, viongozi wabovu tuna kimbilia kusema helima na busara.
Lakini uwe makini na unachoongea. Siyo kila KATIBA lazima tuijadili. Je, tuijadili katiba ya Chadema tu?
 
Habari za Dominika wapendwa. Nakwenda kwenye mada. Naona Mwenyekiti Freeman Aikaeli Mbowe ametulia.

Hajibujibu tuhuma anazitupiwa na Watu wasiompenda. Hii inaonesha hekima, busara, uongozi uliotukuka.

Bila shaka wajumbe wa Mkutano Mkuu ndiyo waamuzi siku ya kura Kwa kuwa majibu yatapatikana tarehe 21/01/2025.

Huo ndo ukweli. Makamu Mwenyekiti Tundu Antipas Lisu na wale wengine waliochukua fomu muwe wapole na msibomoe chama chenu Kwa kuvuana nguo kutoa madhaifu ya chama chenu maana haisaidii kutangaza madhaifu ya chama Kwa Dunia isiyoweza kuwasaidia bali madhaifu yenu mnapaswa kuyasawazisha ninyi wenyewe.

Kura zipigwe Kwa halali. Kura Hivyo itupatie uhalali wa Chadema kuitwa chama Cha kidemokrasia na ndiyo iwe msingi wa kudai KATIBA MPYA na TUME HURU YA UCHAGUZI.

Nawasilisha.
Goli la mkono
 
Back
Top Bottom